-
Israel imewauwa shahidi Wapalestina zaidi ya 100 huko Gaza licha ya tangazo la usitishaji vita
Jan 17, 2025 13:57Idara ya Ulinzi wa Raia ya Gaza imetangaza leo Ijumaa kuwa Wapalestina wasiopungua 101, wakiwemo watoto 27 na wanawake 31, wameuawa shahidi katika mashambulizi ya Israel tangu kutangazwa makubaliano ya kusitisha mapigano juzi Jumatano.
-
Mchezo mpya wa kuigiza wa serikali wa Biden wa kujisafisha na chuki dhidi ya Uislamu
Dec 24, 2024 02:39Wakati Marekani inaendelea kuunga mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Israel huko Gaza, serikali ya Joe Biden imeidhinisha kimaonyesho tu hati ya "Kupambana na Chuki dhidi ya Uislamu" ili kujitakasa bila kutaja mizizi na chanzo cha ukatili na chuki hizo za serikali dhidi ya Waislamu nchini Marekani.
-
27 wafariki, 100 hawajulikani waliko baada ya mashua kupinduka kaskazini ya Nigeria
Nov 30, 2024 07:08Watu wasiopungua 27 wamefariki dunia na zaidi ya 100 hawajulikani walipo baada ya mashua kupinduka kaskazini mwa Nigeria.
-
Daktari aangua kilio wakati anasimulia unyama wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ghaza
Nov 29, 2024 11:42Daktari Tanya Haj-Hassan, ameangua kilio katika mkutano wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akisimulia tajiriba aliyopitia katika Ukanda wa Ghaza unaoendelea kushuhudia vita vya kinyama na mauaji ya kimbari yanayofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa eneo hilo lililowekewa mzingiro.
-
Kuendelea visa vya watu kujichoma moto huko Marekani; nembo ya kupinga vita vya Ukanda wa Gaza
Sep 16, 2024 11:17Raia mmoja wa Marekani aliyejulikana kwa jina na Matt Nelson amejichoma moto katika mji wa Boston akipinga na kulalamikia vita vya Israel dhidi ya watu wa Gaza.
-
Takwa la Umoja wa Mataifa la kuwekewa vikwazo Israel
Sep 09, 2024 13:06Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya chakula amesema kuwa, Israel sio tu inazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza, bali pia inaharibu ardhi na vyanzo vya chakula vya Palestina.
-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni
Jul 28, 2024 02:29Suala la hali mbaya ya Ukanda wa Gaza siku ta Ijumaa kwa mara nyingine tena liliwekwa katika ajenda ya utendaji ya kikao cha nchi 15 wanachama wa Baraza la Usalama la UN sambamba na Bejamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kushiriki katika kikao hicho huko Marekani.
-
Uamuzi wa Mahakama ya Hague kuhusu Rafah: Kushindwa kwingine kwa utawala wa Kizayuni
May 27, 2024 02:19Mahakama ya Kimataifa ya Haki iliyo na makao makuu yake mjini The Hague, Uholanzi , ambacho ni chombo cha juu zaidi cha mahakama cha Umoja wa Mataifa, iliamua Ijumaa, Mei 24, kwamba Israel lazima isimamishe "mara moja" mashambulizi yake ya kijeshi huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Marekani kukanusha tena kutokea mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza, ni kukana ukweli ulio wazi
May 16, 2024 04:25Licha ya Wapalestina zaidi ya elfu 35,000 kuuawa shahidi na utawala wa kigaidi wa Israel huko Ukanda wa Gaza, lakini Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya White House nchini Marekani amedai bila kuona haya kwamba serikali ya Rais Joe Biden haiyachukulii mauaji hayo kuwa ni mauaji ya halaiki.
-
Kuongezeka ukatili dhidi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani wanaounga mkono Palestina
May 03, 2024 10:44Huku maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani yakiendelea kufanyika kwa lengo la kupinga jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na vilevile kwa ajili ya kuwaunga mkono Wapalestina, polisi wa nchi hiyo wameongeza hatua zao za ukandamizaji dhidi ya wanafunzi hao.