-
Odinga: Kesho Jumatatu msiende kazini, Jumanne nitatoa tangazo muhimu
Aug 13, 2017 13:48Kinara wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amewataka wafuasi wake wasiende kazini kesho Jumatatu na wajiandae kupokea kile alichokitaja kuwa maelekezo na tangazo zito litakalotikisa taifa siku ya Jumanne.
-
Upinzani Kenya waitaka IEBC imtangaze Raila Odinga mshindi wa uchaguzi wa urais
Aug 10, 2017 15:17Mrengo wa upinzani wa NASA nchini Kenya umeitaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC imtangaze mgombea wa muungano huo Raila Odinga kuwa, mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika nchini humo siku ya Jumanne.
-
Kuendelea kunyongwa wapinzani nchini Saudi Arabia
Jul 13, 2017 11:33Katika kuendelea ukiukaji wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia, utawala wa Aal Saud umewanyonga raia wanne wa nchi hiyo wa mji wa Qatif.
-
Wapinzani wa serikali ya Misri wanapanga kumuondoa madarakani al Sisi
Jul 05, 2017 14:36Mamia ya wapinzani wa serikali ya Misri walioko nje ya nchi wamenzisha kampeni ya kuunga mkono harakati ya kumuondoa madarakani Rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdul Fattah al Sisi.
-
Wasiwasi wa UN kuhusu kushtadi ukandamizaji wa utawala wa Aal Khalifa dhidi ya wapinzani Bahrain
Jul 02, 2017 04:15Kamati ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa ya Kupinga Ukandamizaji imetangaza katika ripoti yake kuwa, wapinzani nchini Bahrain wanaendelea kufanyiwa ukandamizaji mateso makubwa.
-
Mkuu wa mrengo wa upinzani Syria akiri nchi hiyo inakabiliwa na njama nyingi chafu
Jun 28, 2017 02:23Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria aliyejiunga na wapinzani wa serikali miaka michache iliyopita, sambamba na kutangaza kuachana na shughuli za siasa amekiri kwamba kuna njama chafu zinazofanywa dhidi ya nchi hiyo.
-
Mwanaharakati wa Saudia: Mapinduzi dhidi ya utawala wa Aal-Saud yanakaribia
Jun 22, 2017 13:56Mwanaharakati wa upinzani na msomi mkubwa raia wa Saudia anayeishi nje ya nchi amesema kuwa, mapinduzi muhimu ya kuung'oa utawala wa kifalme wa Aal-Saud nchini humo yanakaribia.
-
Kiongozi wa upinzani Niger ahukumiwa kifungo jela
Jun 06, 2017 13:48Mahakama moja nchini Niger hii leo imetoa hukumu ya kifungo cha miezi mitatu jela dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini humo, aliyekuwa akikabiliwa na mashitaka ya kuchochea mapinduzi dhidi ya serikali.
-
Kuongezeka hukumu za kifo dhidi ya wapinzani nchini Saudi Arabia
May 28, 2017 03:43Mahakama kuu ya utawala wa Aal Saud nchini Saudi Arabia imewahukumu adhabu ya kifo wanaharakati 14 kwa kushiriki katika maandamano kwenye eneo la Waislamu wa Kishia la Qatif mwaka 2011.
-
Utawala wa Aal-Khalifa wapiga marufuku watu kushiriki mazishi ya watu uliowaua
May 27, 2017 13:37Utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain umepiga marufu kujitokeza watu katika mazishi ya mashahidi waliouawa na askari wa utawala huo eneo la Dizar, kaskazini magharibi mwa mkoa wa Pwani wa nchi hiyo.