-
Jumamosi, 21 Septemba, 2024
Sep 21, 2024 04:29Leo ni Jumamosi 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria mwafaka na 21 Septemba 2024 Miladia.
-
Alkhamisi tarehe 22 Septemba 2022
Sep 22, 2022 02:12Leo ni Alkhamisi tarehe 25 Safar 1444 Hijria sawa na 22 Septemba 2022.
-
Jumatano tarehe 22 Septemba 2021
Sep 22, 2021 08:29Leo ni Jumatano tarehe 15 Safar 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Septemba 2021.
-
Rais Rouhani: Mafanikio ya miaka 40 ya muqawama ni matokeo ya kusimama kidete taifa la Iran
Sep 22, 2020 07:58Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matunda ya miaka 40 ya muqawama na kusimama imara kuwa yametokana na maono wa mbali wa taifa la Iran mkabala na maadui.
-
Ayatullah Jannati: Mapinduzi ya Kiislamu yana uwezo wa kukabiliana na madola yote ya kibeberu
Sep 26, 2018 13:50Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu yana uwezo wa kukabiliana na madola yote ya kibeberu.
-
Sepah (IRGC): Uwezo wa kumfanya adui asithubutu kushambulia ni matunda ya miaka minane ya Kujihami Kutakatifu
Sep 25, 2018 14:11Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran la Sepah (IRGC) limetoa taarifa maalumu, ambayo mbali na kuyaenzi maadhimisho ya mwaka 38 wa Kujihami Kutakatifu imesisitiza kwamba nguvu za kujihami na uwezo wa kipekee wa kuzuia hujuma ilionao Iran leo hii ni matunda ya muqawama na somo ambalo taifa hili limejifunza katika miaka minane ya Kujihami Kutakatifu.
-
Jumamosi, Septemba 22, 2018
Sep 22, 2018 03:03Leo ni Jumamosi tarehe 12 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria inayosadifiana na tarehe 22 Septemba 2018 Miladia.
-
Mazoezi ya pamoja ya anga ya SEPAH na Jeshi la Iran yaanza katika maji ya Ghuba ya Uajemi
Sep 21, 2018 07:46Kaimu Mkuu wa Uenezi wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Kujihami Kutakatifu mazoezi ya pamoja ya kijeshi ya vikosi vya anga vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH (IRGC) na vya Jeshi yameanza katika maji ya Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.
-
Ijumaa, Septemba 22, 2017
Sep 22, 2017 03:42Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Muharram 1439 Hijria sawa na Septemba 22, 2017.
-
Meja Jenerali Baqeri: Iran inafuatilia kwa makini nyendo za adui katika Mashariki ya Kati
Sep 21, 2016 14:04Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa kuongezwa uwezo wa kijeshi hapa nchini na kusema kuwa, Iran inafuatilia kwa makini nyendo za adui katika Mashariki ya Kati.