-
Kipindi maalumu cha Milaad an-Nabi SAW
Dec 04, 2017 12:03Hizi ni siku za kusherehekea uzawa wa Bwana Mtume Muhammad al-Mustafa (saw). Huku tukikupeni mkono wa pongezi, fanaka na heri kwa mnasaba wa kuwadia siku hizi adhimu na za furaha kubwa, tunakuombeni mujiunge nasi ili tupate kusikiliza kwa pamoja kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba huu, karibuni.
-
Aal Saud; Mzusha Mifarakano na Kizuizi cha Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 04, 2017 09:53Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Kiislamu ambacho maudhui yake inasema: "Aal Saud, mzusha mifarakano na kizuizi cha umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu". Endeleeni basi kunitegea sikio kuanzia awali hadi tamati ya kipindi hiki.
-
Ijumaa tarehe Mosi Disemba, 2017
Dec 02, 2017 09:10Leo ni Ijumaa tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na Disemba Mosi, 2017.
-
Kongamano la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya Umoja wa Ulimwengu wa Kiislamu
Dec 01, 2017 15:33Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amesema, kongamano la kila mwaka la Umoja wa Kiislamu ni nembo ya umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran na kushirikisha nchi 70
Nov 28, 2017 16:34Mkutano wa 31 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umepangwa kufanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran kwa kuhudhuriwa na wageni 250 kutoka nchi 70 duniani.
-
Sheikh wa al Azhar aalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, Tehran
Nov 27, 2017 08:11Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amemwalika rasmi Sheikh wa al Azhar nchini Misri kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaoanza tarehe 4 mwezi ujao wa Disemba hapa mjini Tehran.
-
Ayatullah Larijani: Kulindwa umoja ni jukumu la kidini na kiakili la Waislamu
Dec 12, 2016 13:54Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesisitiza juu ya kufanyika juhudi kadiri inavyowezekana kwa ajili ya kulinda umoja na mshikamano baina ya Waislamu na kusimama kidete mbele ya mabeberu.
-
Umoja katika mtazamo wa Imam Khomeini (MA) na Ayatullah Khamenei
Feb 05, 2016 06:18Uislamu umeufanya umoja kuwa jambo la wajibu na lazima miongoni mwa Waislamu na waumini na dini nyinginezo za mbinguni zinazomwamini Mwenyezi Mungu Mmoja. Uzito wa jambo hili unaonekana wazi katika aya za Qur'ani Tukufu na riwaya zilizopokelewa kutoka kwa Maimamu Maasumu (as). Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema katika aya ya 103 ya Surat Aal Imran kitabu hicho kitakatifu: Na shikamaneni na Kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu juu yenu mlipokuw
-
Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu
Feb 05, 2016 06:16Mkutano wa 29 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unaendelea hapa mjini Tehran katika siku yake ya pili leo ukishirikisha wanazuoni, wanafikra na wasomi kutoka nchi 70 duniani. Mkutano huo unafanyika wakati ulimwengu wa Kiislamu ukikabiliana na changamoto kubwa ya ugaidi na haja kubwa ya kuimarisha umoja na mshikamano kati ya Waislamu.