-
Marekani na nchi tatu za Ulaya zimeuaje Mkataba wa Cairo?
Nov 23, 2025 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameandika kwenye akaunti yake ya X kwamba: ""Mkataba wa Cairo" umeangamizwa na Marekani na nchi tatu za Ulaya."
-
Harakati ya pamoja ya kupinga hatua ya Magharibi dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya IAEA
Nov 22, 2025 10:20Hivi sasa kumejitokeza harakati ya pamoja ya kupinga hatua ya Troika ya Ulaya na Marekani dhidi ya Iran katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Kushadidi ushindani wa silaha za nyuklia kati ya Marekani na Russia na mustakbali wa mkataba wa New START
Nov 18, 2025 02:21Mvutano wa nyuklia kati ya Russia na Marekani umeongezeka kadiri muda wa mkataba wa nyuklia wa New START unavyokaribia kumalizika, na hivyo kuuweka mkataba huo katika mustakbali usiojulikana.
-
Je, dunia inapaswa kuwa na wasiwasi juu ya uamuzi wa nyuklia aliotangaza Trump? Nini mtazamo wa Iran?
Nov 06, 2025 08:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mjibizo kwa matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kuanza tena nchi hiyo kuzifanyia majaribio silaha zake za nyuklia.
-
Pezeshkian: Vijana wa Iran wamebobea katika uzalishaji wa makombora
Oct 17, 2025 02:42Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameashiria uwezo wa kustaajabisha wa vijana wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kuwa, vijana wa taifa hili ndio ambao wanatengeneza makombora na nishati ya nyuklia kwa kutegemea uwezo wao.
-
Kwa nini China inaamini kujitoa Marekani katika JCPOA ndio chanzo cha mgogoro wa sasa kuhusu kadhia ya nyuklia ya Iran?
Oct 06, 2025 06:13China imetangaza kuwa, kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chanzo cha mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa kuhusiana na kadhia ya nyuklia ya Iran.
-
Iran na IAEA zaafikiana kurejesha ushirikiano; Araghchi aonya
Sep 10, 2025 06:40Iran na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) zimefikia makubaliano yenye lengo la kuandaa njia ya kurejesha ushirikiano kati ya pande hizo mbili.
-
Iran yaitaka dunia ilaani mashambulizi dhidi ya vituo vyake vya nyuklia
Sep 05, 2025 11:02Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Iran amesema Marekani na utawala wa Israel zilifanya mashambulizi ya kimakusudi dhidi ya vituo vya nyuklia ya Iran, licha ya vituo hivyo kuwa chini ya usimamizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kudhibiti Nyuklia.
-
Seneta wa Marekani: Mpango wa nyuklia wa Iran haujaangamizwa
Jun 28, 2025 06:26Chris Murphy, Seneta wa Marekani wa chama cha Democratic amesema, madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusu kuangamizwa mpango wa nyuklia wa Iran hayana ukweli.
-
Watumiaji wa kigeni wa mitandao ya kijamii: Grossi ni kikaragosi cha Mossad dhidi ya Iran
Jun 28, 2025 06:14Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Rafael Grossi ameshambuliwa vikali na watumiaji wa kigeni wa mitandao ya kijamii kwa kushirikiana na Marekani na utawala haramu wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hasa baada ya kutaka kuruhusiwa maafisa wa shirika hilo kuingia Iran na kukagua miradi ya nishati ya nyuklia iliyoshambuliwa na Marekani.