-
Zarif: Madai kuwa mashambulio dhidi ya ARAMCO yalitumia silaha kutoka Iran hayana msingi
Jun 14, 2020 03:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, madai kwamba makombora yaliyotumika kushambulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia ARAMCO yana asili ya Iran, hayana msingi wowote na kuongeza kuwa, inasikitisha kuona kwamba sekretarieti ya Umoja wa Mataifa imeonesha kivitendo kuwa inaathiriwa na vitisho vya Marekani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amuomboleza Ramadhan Shalah
Jun 07, 2020 07:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia katibu mkuu wa zamani wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina.
-
Zarif: Umefika wakati wa dunia kuungana katika kukabiliana na ubaguzi wa rangi
May 31, 2020 04:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe katika mtandao wa Twitter akiashiria mauaji ya kusikitisha yaliyofanywa na polisi ya Marekani dhidi ya Mmarekani mweusi ambaye hakuwa na silaha ya aina yoyote katika mji wa Minneapolis na kusema: Umewadia wakati wa dunia kuungana kwa ajili ya kukabiliana na ubaguzi wa rangi.
-
Zarif: Natumai ulimwengu wa Kiislamu utapata ushindi dhidi ya maadui
May 24, 2020 10:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza matumaini yake kuwa ulimwengu wa Kiislamu utaibuka na ushindi dhidi ya maadui.
-
Zarif: Utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu duniani
May 22, 2020 08:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.
-
Zarif: Baada ya kufeli "mashinikizo ya kiwango cha juu" Pompeo anataka kuwa mshirika katika JCPOA
Apr 27, 2020 13:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, uamuzi wa Marekani wa kutaka kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni matokeo ya kufeli na kushindwa vibaya siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu" dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Janga la corona halisazi taifa lolote, hata Marekani inaomba msaada
Mar 27, 2020 03:03Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameiasi Marekani kubadili mienendo yake ili mripuko wa ugonjwa wa covid-19 ambalo ni janga la kimataifa lisilochagua taifa, usigeuke na kuwa mgogoro wa daima.
-
Zarif akosoa ukatili na ghasia zilizopangwa dhidi ya Waislamu India
Mar 03, 2020 07:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inalaani vikali ukatili na ghasia zilizoratibiwa dhidi ya Waislamu nchini India, akisisitiza kuwa njia pekee ya kutatua mgogoro uliopo ni kufuata sheria na mazungumzo ya amani.
-
Zarif: Vita dhidi ya Corona vitafanikiwa iwapo utakuwepo ushirikiano baina ya nchi zote
Feb 29, 2020 03:08Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China wamefanya mazungumzo ya simu na kujadiliana suala zima la kuenea virusi hatari vya corona na njia za kupambana navyo.
-
Zarif: Trump amekiri kuwa Iran inalichukia kundi la ISIS
Feb 26, 2020 07:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema Rais Donald Trump wa Marekani amekiri kuwa askari wa Marekani wako nchini Syria kwa ajili ya kupora mafuta ya nchi hiyo na kwamba Iran inalichukia kundi la kigaidi la ISIS.