-
Iran: Pande husika katika masuala ya Zimbabwe zitatue matatizo yao kwa njia ya mazungumzo
Nov 17, 2017 00:50Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka pande zote zinazohusika na matukio ya hivi sasa ya Zimbabwe, kutatua matatizo yao kwa njia ya mazungumzo.
-
Taharuki Zimbabwe, Mugabe ang'ang'ania madaraka, AU na UN zatoa kauli
Nov 16, 2017 12:40Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ambaye yuko katika ncha ya kuuzuliwa amekataa kuachia madaraka akisisitiza kuwa yeye ndiye kiongozi halali wa nchi hiyo.
-
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe aondolewa madarakani
Nov 15, 2017 12:04Jeshi la Zimbabwe limemuondoa madarakani rais wa nchi hiyo Robert Gabriel Mugabe.
-
Mapinduzi ya Zimbabwe; maji yamfika shingoni Mugabe, ajiandaa kujiuzulu
Nov 15, 2017 04:49Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe anajiandaa kuondoka madarakani saa chache baada ya jeshi la nchi hiyo kutwaa madaraka kwa njia isiyo ya umwagaji damu.
-
Jeshi la Zimbabwe lakanusha uvumi kwamba lilitaka kufanya mapinduzi ya kiejeshi dhidi ya Mugabe
Nov 15, 2017 01:17Maafisa wa jeshi nchini Zimbabwe wamekanusha uvumi wa kuendesha mapinduzi ya kijeshi baada ya kuripotiwa taarifa za kujiri milipuko ya bomu katika mji mkuu wa nchi hiyo, Harare.
-
MDC: Kuuita uwanja wa ndege wa kimataifa "Mugabe" ni tusi kwa Wazimbabwe
Nov 10, 2017 23:42Chama kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe cha MDC kimekosoa vikali hatua ya kubadilisha jina la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Harare na kuuita Robert Gabriel Mugabe, jina la rais wa nchi hiyo.
-
Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyeuzuliwa akimbia nchi
Nov 09, 2017 04:28Makamu wa Rais wa Zimbabwe aliyefutwa kazi na kutimuliwa ndani ya chama tawala Zanu-PF hivi karibuni amekimbilia uhamishoni akidai kuwa maisha yake yamo hatarini.
-
Rais Mugabe wa Zimbabwe amfuta kazi makamu wake
Nov 07, 2017 01:08Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amempiga kalamu nyekundu makamu wake Emmerson Mnangagwa, kutokana na kile kilichotajwa kama ukosefu wa uaminifu kwa rais na kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
-
Mmarekani aliyemtukana Rais Mugabe wa Zimbabwe aswekwa jela
Nov 03, 2017 10:54Polisi nchini Zimbabwe imemtia mbaroni raia wa Marekani kwa tuhuma za kumtusi Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo.
-
Rais Mugabe ataka kurejeshwa hukumu ya kifo nchini Zimbabwe
Nov 02, 2017 04:46Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe ametoa mwito wa kurejeshwa hukumu ya kifo baada ya watu 50 kutuma maombi ya kujaza nafasi iliyo wazi ya mtu wa kutekeleza adhabu ya kunyongwa.