Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zimbabwe

  • Mchungaji apandishwa kizimbani kwa jaribio la kuipindua serikali ya Zimbabwe

    Mchungaji apandishwa kizimbani kwa jaribio la kuipindua serikali ya Zimbabwe

    Sep 25, 2017 11:42

    Zimbabwe leo imempandisha kizimbani mchungaji mwanaharakati kwa tuhuma za kujaribu kuipindua serikali; kosa ambalo iwapo atapatikana na hatia adhabu yake ni kifungo cha miaka 20 jela.

  • Upinzani Zimbabwe wakataa mpango wa kuasisi muungano wa kitaifa

    Upinzani Zimbabwe wakataa mpango wa kuasisi muungano wa kitaifa

    Sep 06, 2017 23:51

    Chama cha upinzani nchini Zimbabwe cha Movement for Democratic Change (MDC) jana Jumatano kilieleza kuwa hakina mipango ya kujiunga na vijikundi vilivyopo ndani ya chama tawala ZANU-PF ili kuasisi muungano wa umoja wa kitaifa baada ya kuaga dunia Rais Robert Mugabe wa nchi hiyo aliye na umri wa miaka 93.

  • Ushirikiano wa Iran na Zimbabwe katika mapambano dhidi ya mabeberu ni mfano wa kuigwa

    Ushirikiano wa Iran na Zimbabwe katika mapambano dhidi ya mabeberu ni mfano wa kuigwa

    Sep 05, 2017 09:42

    Mshauri maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema muqawama au mapambano ya watu wa Iran na Zimbabwe dhidi ya madola ya kibeberu ni mfano wa kuigwa na wapigania uhuru kote duniani.

  • Grace Mugabe apewa kinga ya kidiplomasia ya kuondoka Afrika Kusini

    Grace Mugabe apewa kinga ya kidiplomasia ya kuondoka Afrika Kusini

    Aug 20, 2017 03:28

    Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Grace Mugabe ambaye anakabiliwa na kesi ya kumpiga na kumjeruhi mwanamitindo wa Afrika Kusini amepewa kinga ya kidiplomasia.

  • Mrithi mtarajiwa wa rais wa Zimbabwe alazwa hospitalini nchini Afrika Kusini

    Mrithi mtarajiwa wa rais wa Zimbabwe alazwa hospitalini nchini Afrika Kusini

    Aug 14, 2017 10:46

    Makamu wa Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa mmoja wa wanasiasa wanaotarajiwa kumrithi Rais wa nchi hiyo Robert Mugabe amesafrishwa kupelekwa nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu.

  • Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kustawisha zaidi uhusiano na nchi za Afrika

    Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kustawisha zaidi uhusiano na nchi za Afrika

    Aug 07, 2017 12:11

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa nyakati tofauti na Rais wa Zimbabwe na Waziri wa Utamaduni na Mawasiliano wa Senegal walioko hapa mjini Tehran na kusisitiza kuwa Tehran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano wake na nchi hizo mbili za Afrika.

  • Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018

    Upinzani Zimbabwe wajiweka sawa ili kumbwaga Mugabe 2018

    Aug 06, 2017 02:34

    Kinara wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai ametangaza kuungana na wapambe wake wa zamani kwa shabaha ya kuunda muungano mmoja wenye nguvu ili waweze kumundoa madarakani Rais Robert Mugabe katika uchaguzi mkuu mwakani.

  • Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Zimbabwe wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Zimbabwe wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao

    Aug 04, 2017 22:10

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Zimbabwe wamesisitiza juu ya azma ya nchi zao ya kuimarisha uhusiano katika nyanja mbalimbali.

  • Mke wa Rais wa Zimbabwe ataka Mugabe ataje mrithi wake

    Mke wa Rais wa Zimbabwe ataka Mugabe ataje mrithi wake

    Jul 27, 2017 11:06

    Mke wa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amemtaka mumewe aanishe na kumtangaza mrithi wa kiti cha rais nchini humo.

  • Rais Mugabe wa Zimbabwe aelekea Singapore kupata matibabu

    Rais Mugabe wa Zimbabwe aelekea Singapore kupata matibabu

    Jul 09, 2017 23:28

    Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe yuko nchini Singapore kwa ajili ya matibabu, hii ikiwa ni safari yake ya tatu ya kitiba nchini humo mwaka huu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS