-
Maelfu ya Wamisri waandamana Sinai kuiunga mkono Palestina
Apr 09, 2025 10:12Maelfu ya wananchi wa Misri kutoka majimbo mbalimbali wamekusanyika karibu na Uwanja wa Ndege wa El-Arish katika Mkoa wa Sinai Kaskazini wakitangaza kuunga mkono kadhia ya Palestina na kupinga jaribio lolote la kuwafurusha Wapalestina kutoka katika ardhi zao.
-
Luteni Jenerali Werede atangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray, Ethiopia
Apr 09, 2025 03:06Luteni Jenerali Tadesse Werede ametangazwa kuwa rais mpya wa muda wa eneo la Tigray kuchukua nafasi ya Getachew Reda.
-
Kofi la Afrika kwa Uzayuni; Mwakilishi wa Israel afukuzwa makao makuu ya AU
Apr 08, 2025 23:36Jumatatu wiki hii balozi wa Israel nchini Ethiopia, Abraham Negussie, alifukuzwa katika Ukumbi wa Mandela katika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa.
-
Iran na Algeria zasisitiza kupanua ushirikiano wa pande mbili
Apr 08, 2025 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na Rais wa Algeria na kubadilishana mawazo kuhusu masuala muhimu zaidi ya pande mbili, kieneo na kimataifa.
-
Kihausa, lugha ya kitaifa ya Niger baada ya Kifaransa kupunguzwa hadhi
Apr 08, 2025 23:06Katika hatua ya kijasiri ya kuelekea kwenye uhuru kamili na kuondoa mabaki ya ukoloni, Niger imetangaza Kihausa kuwa lugha ya kitaifa huku lugha ya Kifaransa ikiwa imeshushwa hadhi.
-
Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel
Apr 08, 2025 08:25Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza na kutaka kufutwa makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni.
-
Mamia ya familia zalazimika kukimbia baada ya RSF kushambulia vijiji Darfur, Sudan
Apr 08, 2025 06:12Mamia ya familia zimefurushwa kutoka vijiji viwili magharibi mwa Sudan baada ya mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF). Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM).
-
Kagame azihutubu nchi zinazoiwekea Rwanda vikwazo: Nendeni kuzimu
Apr 08, 2025 03:25Rais Paul Kagame wa Rwanda amezikosoa vikali nchi ambazo hivi karibuni zilitangaza kuiwekea Kigali vikwazo kutokana na mgogoro wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Diop: Ukraine inachochea ukosefu wa utulivu barani Afrika
Apr 08, 2025 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Mali, Abdoulaye Diop amesema Ukraine inavuruga utulivu barani Afrika kwa kuunga mkono makundi ya kigaidi katika eneo la Sahel barani humo.
-
Idadi ya waliofariki dunia kwa mafuriko DRC yaongezeka, vita vinaendelea
Apr 07, 2025 22:58Mbali na majanga ya ukosefu wa amani na vita baina ya makundi hasimu, majanga ya kimaumbile yanaikumba pia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Watu wasiopungua 33 wamethibitishwa kufarikidunia kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Kinshasa, mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) wakati juzi Jumapili idadi hiyo ilikuwa ni watu 22.