-
Hofu yatanda Msumbiji kabla ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi
Dec 20, 2024 23:27Msumbiji inajiandaa kwa maandamano zaidi huku matokeo ya mwisho ya uchaguzi unaodaiwa na wapinzani kuwa ulikuwa na utata yakitarajiwa kutangaza kabla yya Jumatatu ijayo.
-
Zaidi ya watu 10,000 waambukizwa ugonjwa wa rubella Afrika Kusini
Dec 20, 2024 10:00Idara ya Afya ya Afrika Kusini imewatahadharisha wananchi kuhusu ongezeko kubwa la wagonjwa wa rubella kote nchini humo hasa kutokana na kuripotiwa zaidi ya kesi 10,000 za watu walioambukizwa ugonjwa huo mwaka huu.
-
Idadi ya waliofariki dunia kutokana na kimbunga cha Chido yafika 73 nchini Msumbiji
Dec 20, 2024 09:59Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kimbunga cha Chido nchini Msumbiji imepanda na kufikia 73, huku watu 543 wakiripotiwa kujeruhiwa.
-
Waasi wazidi kusonga mbele mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Dec 20, 2024 09:23Eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bado linaendelea kukumbwa na vitendo vya ghasia zinazofanywa na waasi na sasa wakiwa wameingia katika mji wa Butembo na kwingineko ambako tayari wameteka vijiji zaidi ya 10.
-
Chad yawataka wanajeshi wa Ufaransa kuwa wameondoka nchini humo ifikapo 31 Januauri 2025
Dec 20, 2024 04:25Serikali ya Chad imeitaka Ufaransa kuwa imewaondoa wanajeshi wake katika ardhi yake ifikapo Januari 31.
-
Rais Ruto afanya mabadiliko serikalini Kenya, awateua wandani wa mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta
Dec 20, 2024 01:00Rais William Ruto wa Kenya amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri kwa kuwateua watu wa karibu kwa mtangulizi wake, Uhuru Kenyatta kushika nyadhifa kwenye serikali yake.
-
Sudan yaikosoa EU kwa kuwawekea vikwazo majenerali wake 2
Dec 19, 2024 23:21Sudan imelaani uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo majenerali wawili wa jeshi la nchi hiyo, ikieleza kuwa hatua hiyo ni potofu na yenye dosari.
-
Watoto 32 waaga dunia katika mkanyagano kwenye tamasha la wanafunzi nchini Nigeria
Dec 19, 2024 07:51Kamanda wa Polisi katika jimbo la Oyo nchini Nigeria, Adewale Osifeso, amesema kuwa watoto wasiopungua 32 wamethibitishwa kufariki dunia katika mkanyagano wa jana kwenye tamasha la wanafunzi jimboni humo.
-
Chuo kikuu cha Daystar Kenya chafuta mkataba na 'Israel' baada ya malalamiko ya umma
Dec 19, 2024 03:30Siku mbili tu baada ya Chuo Kikuu cha Daystar cha Kenya kutia saini mkataba na ubalozi wa utawala Israel jijini Nairobi kuanzisha 'Msitu wa Zion' kwenye chuo chake, taasisi hiyo imebatilisha uamuzi wake kufuatia hasira za wananchi katika mitandao ya kijamii hasa X.
-
'Ugonjwa usiojulikana' DRC wabainika kuwa ni Malaria sugu
Dec 19, 2024 03:29Ugonjwa ambao haukutambuliwa hapo awali ambao ulizuka katika jimbo la Kwango kusini magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umebainika kuwa ni aina sugu ya malaria.