-
Afisa wa Umoja wa Mataifa yuko CAR kuimarisha mchakato wa kurejesha amani
Dec 18, 2024 10:01Katika siku ya pili ya ziara yake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), Jean-Pierre Lacroix, mkuu wa mpango wa amani wa Umoja wa Mataifa, amekutana na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Felix Moloua ambapo viongozi hao wawili wamejadili hali ya sasa ya nchi hiyo na hatua muhimu zinazohitajika kwa ajili ya kuberesha mwenendo wa kurejesha amani.
-
Kimbunga Chido chaikumba Msumbiji; UN yatenga dola milioni 4 kwa ajili ya nchi hiyo
Dec 18, 2024 09:26Umoja wa Mataifa umetenga dola za kimarekani milioni 4 kuisaidia Msumbiji kukabiliana na athari mbaya za kimbunga cha kitropiki, Chido kilichopiga maeneo ya pwani nchini humo siku ya Jumapili.
-
Mauritania; mwenyeji wa mazungumzo ya amani ya Sudan
Dec 18, 2024 09:26Mauritania Jumatano hii imekuwa mwenyeji wa mashauriano yenye lengo la kurejesha amani nchini Sudan kufuatia ombi la Umoja wa Mataifa na kwa ushiriki wa wajumbe kutoka nchi na mashirika mbalimbali.
-
DRC yafungua kesi ya jinai dhidi ya Kampuni ya Apple kwa madai ya kutumia madini haramu
Dec 18, 2024 04:08Kampuni kubwa ya teknolojia ya kimataifa, Apple, iko matatani baada ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuwasilisha kesi ya jinai dhidi ya kampuni tanzu za Apple nchini Ubelgiji na Ufaransa.
-
Makumi ya watu wafa maji, makumi hawajulikani waliko Kongo DR
Dec 18, 2024 04:06Boti iliyokuwa imejaa watu ilipinduka kwenye mto katikati mwa Kongo jana Jumanne, na kuua takriban watu 25, wakiwemo watoto. Makumi ya abiria wengine wa boti hiyo wametoweka na hawajulikani waliko.
-
Rais wa Senegal aanza kibarua cha kurejesha nchi za kundi la Sahel katika ECOWAS
Dec 17, 2024 23:31Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema anafanya mazungumzo ya apatanishi ili kuzirejesha nchi za Shirikisho la Nchi za Sahel (Mali, Burkina Faso na Niger) kwenye Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi Magharibi mwa Afrika (ECOWAS).
-
Ronnie Kasrils: Umewadia wakati wa kufutwa kura ya turufu ambayo inailinda Israel
Dec 17, 2024 23:30Ronnie Kasrils aliyekuwa mmoja wa viongozi wa Harakati ya Ukombozi, ambaye ni mfuasi wa dini ya Kiyahudi na Mzungu wa Afrika Kusini, ameeleza kuwa Israel inaeneza uharibifu katika eneo Asia Magharibi, sio tu kwa kufanya jinai ya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina, bali kwa kuishambulia Lebanon na kuvamia ardhi yake, na mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya Syria, Iraq na Yemen.
-
Rais wa Angola alaani uvamizi wa madola ya kigeni nchini Syria
Dec 17, 2024 07:48Rais Joao Lourenco wa Angola amelaani uvamizi wa madola ya kigeni nchini Syria na ameelezea masikitiko yake kutokana na kuvamiwa na kukaliwa kwa mabaru ardhi za nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Wahamiaji 499 waliokolewa katika pwani ya Libya wiki iliyopita
Dec 17, 2024 07:47Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, wahamiaji 499, wakiwemo wanawake 34 na watoto sita, waliokolewa nje ya pwani ya Libya wiki iliyopita.
-
Ugonjwa wa ajabu wa ‘kucheza densi’ unasumbua mamia nchini Uganda
Dec 17, 2024 01:38Takriban watu 300 wameambukizwa ugonjwa wa ajabu wa ‘kucheza ngoma’ nchini Uganda huku serikali ikianzisha uchunguzi kubainisha chanzo chake.