-
Waislamu Nigeria wakumbuka miaka 9 tangu mauaji ya Zaria
Dec 16, 2024 23:25Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeadhimisha mwaka wa 9 tangu mauaji ya Zaria, ikitoa wito wa kufunguliwa mashtaka wahusika wa mashambulizi mabaya dhidi ya Waislamu wa Shia.
-
Nchi 15 za Kiafrika kurekodi viwango vya juu zaidi vya ukuaji ulimwenguni mnamo 2025
Dec 16, 2024 23:23Ripoti ya Utabiri wa Afrika 2025 imechapishwa na Jarida la Economist imebaini kuwa nchi za Afrika zitaashuhudia ustawi wa kasi wa uchumi mwakani.
-
UN inasema inahitaji $1.42B ili kuongeza msaada wa kibinadamu nchini Somalia mwaka ujao
Dec 16, 2024 23:23Umoja wa Mataifa umesema unahitaji dola bilioni 1.42 ili kuongeza misaada nchini Somalia, ambapo watu milioni 5.98 watahitaji msaada wa kibinadamu mwaka 2025.
-
Watu wasiopungua 20 wapoteza maisha kwenye Mto Benue nchini Nigeria
Dec 16, 2024 07:56Takriban watu 20 wamekufa maji baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kupinduka na kuzama kwenye Mto Benue wa katikati mwa Nigeria.
-
Takriban watu 15 wameuawa katika shambulio la wanamgambo magharibi mwa Sudan
Dec 16, 2024 07:48Shirika la habari la serikali ya Sudan SUNA limeripoti kuwa, shambulio la ndege zisizo na rubani lililofanywa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) limeua zaidi ya watu 15 katika soko moja huko El Fasher, magharibi mwa Sudan.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria yamwita Balozi wa Ufaransa nchini humo kupinga hatua za Paris
Dec 16, 2024 03:58Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imemwita Balozi wa Ufaransa nchini humo kupinga hatua za Kurugenzi Kuu ya Usalama wa Nje ya Ufaransa (DGSE) zinazolenga kuiyumbisha nchi hiyo.
-
DRC yabadili msimamo kuhusu kuondoka kikosi cha MONUSCO
Dec 15, 2024 23:12Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imebadilisha msimamo wake kuhusu mchakato wa kuondooka nchini humo kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO).
-
Takriban watu tisa wameuawa katika shambulizi la droni Darfur, Sudan
Dec 15, 2024 23:10Takriban watu tisa wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa kufuatia shambulizi la droni (ndege zisizo na rubani) katika hospitali moja katika mji wa El-Fasher katika jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan.
-
Vikosi vya Tunisia vyasambaratisha mtandao mwingine wa mihadarati
Dec 15, 2024 23:08Kituo cha redio cha Mosaique FM kimeripoti kuwa, vikosi vya usalama vya Tunisia vimesambaratisha mtandao mwingine dawa za kulevya katika jimbo la kaskazini mwa nchi hiyo la Ariana, na kuwatia mbaroni watu wanne raia wa nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara.
-
Mazungumzo baina ya Kagame na Tshisekedi huko Angola, yamefutwa
Dec 15, 2024 07:25Mazungumzo yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo Jumapili kati ya marais wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC nchini Angola, kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa mashariki mwa DRC, yamefutwa.