-
Mkenya apigwa risasi na jirani mbaguzi nchini Marekani, polisi walaaniwa kwa kushindwa kuchukua hatua
Oct 31, 2024 07:53Polisi huko Minneapolis, jimbo la Minnesota, Marekani, hatimaye wamemkamata mzungu mbabuzi, wiki moja baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi jirani yake mwenye asili ya Kenya, kwa kile kinachoaminika kuwa ni hujuma ya ubaguzi wa rangi na chuki.
-
Obasanjo: Demokrasia ya magharibi haifai tena barani Afrika
Oct 31, 2024 07:49Rais wa zamani wa Nigeria Olusegun Obasanjo ameitaka nchi yake kufikiria kupitisha mfumo wa serikali unaozingatia kanuni za kitamaduni za Kiafrika, akisisitiza kuwa demokrasia ya Magharibi imeshindwa barani humo.
-
Chama tawala cha Zimbabwe chatoa wito wa kufutwa majina ya kikoloni nchini humo
Oct 31, 2024 07:41Majina ya majimbo na maeneo nchini Zimbabwe ambayo yanahusishwa na historia ya ukoloni wa nchi hiyo yanapaswa kubadilishwa.
-
Ubunifu mpya wa kisheria wa Afrika Kusini katika kuwatetea Wapalestina
Oct 31, 2024 07:36Kuendelea mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza kumeifanya timu ya wanasheria wa Afrika Kusini kuwasilisha kesi inayokaribia kurasa 5,000 dhidi ya utawala katili wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Balozi wa Sudan ailaani Israel kwa kuchochea moto wa vita nchini mwake
Oct 31, 2024 03:34Balozi wa Sudan mjini Tehran ameulaani utawala wa Kizayuni kwa kuchochea moto wa vita nchini mwake na kusema kuwa, Israel na makundi yanyopigana kwa niaba ya madola ya kigeni ndiyo sababu ya maafa yanayoendelea hivi sasa Sudan.
-
AU yaitaka UN kuchukua hatua madhubuti za kuondoa marufuku UNRWA iliyowekwa na Israel
Oct 31, 2024 03:34Mkuu wa Umoja wa Afrika amelitaka Baraza Kuu na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuchukua hatua madhubuti za kukabilian na marufuku iliyowekwa na Israel dhidi ya shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi wa Palestina, UNRWA.
-
Ajali ya ndege ya kijeshi yaua raia 3 wa kigeni nchini Kongo
Oct 31, 2024 03:33Habari kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinasema kuwa, jana Jumatano kulitokea ajali mbaya ya helikopta ya kijeshi ya nchi hiyo na kupelekea kupoteza maisha rubani, rubani mwenza na fundi ambao walikuwa ni raia wa kigeni.
-
Wafuasi wa kundi lenye misimamo mikali waua, kujeruhi 16 Uganda
Oct 30, 2024 10:47Watu kadhaa wanaoshukiwa kuwa wafuasi madhehebu ya kidini yenye misimamo ya kufurutu ada wameshambulia kijiji kimoja nchini Uganda, na kuua watu wasiopungua wanane, akiwemo mtoto wa umri wa miaka mitatu na watu wa familia za washambuliaji hao.
-
Wabotswana wapiga kura huku chama kilichotawala kwa miaka 58 kikiahidi 'mabadiliko'
Oct 30, 2024 09:08Wabotswana leo wameelekea kwenye vituo vya kupigia kura kuchagua wabunge watakaomchagua rais, wakati chama tawala cha Botswana Democratic Party (BDP) ambacho kimeiongoza nchi hiyo kwa miaka 58 kikitafuta ridhaa tena ya kubaki madarakani kwa muhula mwingine wa miaka mitano kwa kaulimbiu ya kuleta "mabadiliko".
-
Ripoti ya UN yaonya kuhusu njaa kali Congo DRC, migogoro inaendelea
Oct 30, 2024 05:54Ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa inaeleza kwamba karibu mtu mmoja kati ya wanne katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) anasumbuliwa na njaa kali, huku mamilioni ya watu wakilazimika kuyahama makazi yao.