-
Tanzania yatakiwa kuheshimu haki za binadamu kuelekea uchaguzi serikali za mitaa
Oct 17, 2024 07:45Shirika la kimatatifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Tanzania kulinda haki za binadamu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa.
-
Idadi ya waliokufa katika mlipuko wa lori la mafuta Nigeria yafikia 150
Oct 17, 2024 07:45Idadi ya watu waliopoteza maisha baada ya lori la mafuta kuripuka na kusababisha moto mkubwa kaskazini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia watu 150.
-
Jeshi la Rwanda lapinga madai ya kuwabaka wanawake Jamhuri ya Afrika ya Kati
Oct 17, 2024 07:15Jeshi la Rwanda limekanusha madai ya ubakaji dhidi ya wanajeshi wake wanaohudumu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), likisema kuwa wanajeshi wa Rwanda katika ujumbe huo ni "wastaarabu" na "wanalinda na kuheshimu watu wanaokutana nao".
-
Wahanga wa mlipuko wa lori la mafuta Nigeria wazikwa kwa umati
Oct 17, 2024 04:28Maafisa wa serikali za mitaa kaskazini mwa Nigeria jana waliungana na mamia ya waombolezaji katika mazishi ya maziko ya umati ya zaidi ya wahanga 140 waliopoteza maisha katika mlipuko mkubwa wa lori la mafuta usiku wa kuamkia jana.
-
Wizara ya Mazingira Kenya kuwafurusha waishio pembezoni mwa mito
Oct 16, 2024 23:24Waziri wa mazingira na maliasili wa Kenya, Aden Duale amesema kuwa serikali itaendeleza mpango wake wa kuwahamisha watu wanaoishi kando kando ya mito nchini humo.
-
Rais wa Angola atoa mwito wa kukomeshwa jinai za Israel Lebanon na Palestina
Oct 16, 2024 07:07Rais Joao Lourenco wa Angola ametoa mwito wa kukomeshwa jinai za utawala wa Kizayuni huko Lebanon na Palestina na kusisitizia haja ya kuundwa taifa huru la Palestina.
-
Lori la mafuta laripuka na kuua watu 90 kaskazini magharibi mwa Nigeria
Oct 16, 2024 07:06Takriban watu 90 wamepoteza maisha na wengine 50 kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kuripuka na kusababisha moto mkubwa kaskazini magharibi mwa Nigeria.
-
Umoja wa Mataifa: Mamilioni ya watu wameathiriwa na njaa kusini mwa Afrika
Oct 16, 2024 07:05Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) limetangaza kuwa, mamilioni ya watu wako katika ukingo wa kutumbukia kwenye baa la njaa kusini mwa Afrika.
-
Waandamanaji mashariki mwa DRC walaani hatua ya Rwanda kufanya mazungumzo na waasi wa M23
Oct 16, 2024 03:21Nyimbo na nara za wakazi wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi aya Congo zimedhihirisha wazi hasira yao dhidi ya hatua ya Rwanda kuwaunga mkono waasi wa M23. Mamia ya waandamanaji huko Butembo, mashariki mwa DRC, waliingia mitaani Jumanne ili kuonyesha uungaji mkono wao kwa wanajeshi wa Kongo na zaidi ya yote, kupinga mazungumzo yoyote na waasi wa M23.
-
Kongamano la Chakula Ulimwenguni lafunguliwa kwa wito wa kuunda mifumo jumuishi ya chakula
Oct 15, 2024 09:23Kongamano la Chakula Ulimwenguni lilianza Jumatatu huko Roma chini ya mada, 'Chakula kizuri kwa wote, leo na kesho.'