-
Maiti 13 za wahajiri zapatikana pwani ya kusini mashariki mwa Tunisia
Sep 26, 2024 00:30Askari wa gadi ya baharini ya Tunisia wameopoa majini miili 13 ya wahamiaji wasio na vibali katika mkoa wa pwani wa Mahdia kusini mashariki mwa Tunisia.
-
Marekani kuiuzia Misri makombora ya dola milioni 740
Sep 26, 2024 00:29Serikali ya Marekani imeidhinisha mauzo ya makombora yenye thamani ya mamilioni ya dola kwa Misri licha ya serikali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika kuendelea kuandamwa na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Watunisia na Wamorocco waandamana kulaani mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon na Ghaza
Sep 25, 2024 10:28Makumi ya waandamanaji wamemiminika katika miji ya Tunisia na Morocco kulaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Ghaza na Lebanon na kutaka hatua za haraka zichukuliwe kuufanya utawala wa Kizayuni ukomeshe mashambulizi hayo.
-
Waliofariki dunia kwa mripuko wa kipindupindu Sudan wameongezeka hadi watu 433
Sep 25, 2024 10:28Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mripuko wa kipindupindu nchini Sudan imeripotiwa kuongezeka na kufikia watu 433.
-
Burkina Faso yazima jaribio la kuyumbisha usalama wa nchi hiyo
Sep 25, 2024 10:26Waziri wa Usalama wa Burkina Faso, Mahamadou Sana amesema kwenye televisheni ya taifa kwamba "watu wanaoishi Cote d'Ivoire wamehusika katika shughuli za uasi dhidi ya usalama wa taifa.
-
Afrika Kusini yatoa wito kwa viongozi wa dunia kuchukua hatua madhubuti kukomesha mateso ya Wapalestina
Sep 25, 2024 04:27Afrika Kusini imetoa wito wa kupasishwa azimio la amani kuhusu vita vya Israel vinavyoendelea katika eneo la Ukanda wa Gaza hukko Palestina.
-
Ripoti ya Jopo Kazi la Kitaifa Kenya: Hongo na ufisadi vinatawala Jeshi la Polisi
Sep 25, 2024 04:26Ripoti ya Jopo Kazi la Kitaifa Uboreshaji wa Sheria na Marekebisho iliyowasilishwa kwa Rais William Ruto wa Kenya imebaini kuwepo ufisadi wa hali ya juu katika Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS) unaojumuisha hongo katika uajiri na jinsi wakuu wa polisi wanavyoingiza mabilioni ya pesa kupitia rushwa kutoka kwa madereva wa magari.
-
Mafuriko makubwa yaziathiri Nigeria na Niger; mamia ya maelfu ya watu wahama makazi yao
Sep 24, 2024 22:55Mafuriko makubwa yamesababisha maafa katika nchi za kati na magharibi mwa Afrika, zikiwemo Nigeria na Niger na kuathiri mamia ya maelfu ya watu na kusababisha uharibifu mkubwa.
-
WHO: Takriban kesi 30,000 zinazoshukiwa kuwa za ugonjwa wa Mpox zimeripotiwa Afrika mwaka huu
Sep 24, 2024 22:52Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa takriban kesi 30,000 zinazoshukiwa kuwa za ugonjwa wa Mpox zimeripotiwa mwaka huu barani Afrika, huku wengi wa walioambukizwa wakitoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Watu 15 wauawa na wengine 61 wajeruhiwa katika shambulio jipya nchini Sudan
Sep 24, 2024 03:59Takriban watu 15 wameuawa na wengine 61 kujeruhiwa katika shambulio la mizinga lililofanywa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwenye soko lililojaa watu katika mji wa Omdurman, kaskazini mwa mji mkuu wa Sudan, Khartoum.