-
Waliokufa kwa maporomoko ya udongo Ethiopia wapindukia 150
Jul 25, 2024 03:35Idadi ya watu walioaga dunia katika maporomoko ya udongo yaliyoikumba Ethiopia baada ya mvua kubwa kunyesha nchini humo inazidi kuongezeka ambapo takwimu za karibuni zinaonyesha kuwa imepindukia 150.
-
Sudan na Misri zasisitiza msimamo wao kuhusu Bwawa la al-Nahdha
Jul 25, 2024 03:33Misri na Sudan zimesisitiza kwa mara nyiingine tena kwamba, misimamo yao kuhusu faili la Bwawa la al-Nahdha ambalo Ethiopia imejenga tangu 2011 kwenye Mto Nile inafanana na haijabadilika.
-
Afrika Kusini yaunga mkono tamko la umoja kati ya makundi mbalimbali ya Wapalestina
Jul 25, 2024 00:47Afrika Kusini siku ya Jumatano ilikaribisha tamko la mapatano ya umoja kati ya makundi mbalimbali ya Wapalestina na nia yao iliyotangazwa ya kuunda serikali ya muda ya umoja wa kitaifa na maridhiano.
-
Rais Ruto wa Kenya ateuwa wapinzani katika safu ya baraza lake la mawaziri
Jul 24, 2024 09:23Rais William Ruto wa Kenya amewateuwa katika baraza lakek jipya la mawaziri shakhsia wa upinzani huku akiwarejesha nyadhifani mawaziri kadhaa aliokuwa amewafuta kazi.
-
Wanajeshi 15 wauawa katika mapigano na magaidi magharibi mwa Niger
Jul 24, 2024 02:57Takriban wanajeshi 15 wa Niger wameuawa wakati wa mapigano na magenge ya kigaidi, magharibi mwa Niger. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya jana Jumanne ya Wizara ya Ulinzi wa Taifa ya nchi hiyo.
-
WFP inasaka dola milioni 200 za kuongeza misaada ya kibinadamu Somalia
Jul 24, 2024 02:56Mpango wa Chakula Duniani (WFP) ulisema jana Jumanne kwamba unahitaji dola milioni 199.8 za kuweza kuongeza shughuli zake za kibinadamu kote Somalia kwa muda wa miezi sita ijayo.
-
Takriban watu 600 wauawa katika mapigano El Fasher Sudan
Jul 24, 2024 02:56Takriban watu 600 wameuawa tangu Mei 10 katika mapigano yanayoendelea kati ya Wanajeshi wa Sudan (SAF) na Wanajeshi wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) huko El Fasher, makao makuuu ya Jimbo la Darfur ya Kaskazini.
-
Maporomoko ya udongo yauwa watu wasiopungua 229 nchini Ethiopia
Jul 23, 2024 23:15Watu wasiopungua 229 wamepoteza maisha katika maporomoko ya udongo yaliyoikumba Ethiopia baada ya mvua kubwa kunyesha nchini humo.
-
Serikali ya Niger yatangaza maadhimisho ya mapinduzi kuwa ni "Sikukuu ya Kitaifa"
Jul 23, 2024 23:05Serikali ya kijeshi ya Niger imetangaza Julai 26 kuwa ni Sikukuu ya Kitaifa itakayokuwa ikiadhimishwa kila mwaka nchini humo kusherehekea matendo ya kizalendo ya watu wa Niger.
-
Polisi Uganda wawakamata waandamanaji waliojaribu kuvamia bunge
Jul 23, 2024 10:34Waandamanaji kadhaa wamekamatwa Kampala mji mkuu wa Uganda wakati wanaharakati wa kupinga ufisadi walipokuwa wakiandamana kuelekea bungeni.