-
Njaa, mauaji na unyanyasaji wa kingono... MSF yatahadharisha kuhusu hali mbaya nchini Sudan
Jul 22, 2024 22:54Ripoti iliyotolewa na Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF), imefichua baadhi ya majanga ya binadamu yaliyosababishwa na vita kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwa raia yakiwemo mauaji, mateso na ukatili wa kingono, huku mapigano yakiendelea kati ya pande hizo mbili katika maeneo kadhaa ya Sudan.
-
Magaidi 80 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia
Jul 22, 2024 07:57Makumi ya wapiganaji wa kundi la kigaidi la al-Shabaab wameangamizwa nchini Somalia katika operesheni tatu za jeshi la Somalia dhidi ya genge hilo.
-
Mandela: Houthi wazidishe mashambulizi ili kuikomboa Palestina
Jul 22, 2024 07:28Mjukuu wa Nelson Mandela, shujaa na kiongozi wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Harakati ya Ansarullah na vikosi vya wanajeshi wa Yemen kushadidisha operesheni zao dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel unaoendelea kuua watoto na wanawake wasio na hatia katika Ukanda wa Gaza.
-
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yatahadharisha kuhusu ongezeko la MPOX
Jul 22, 2024 03:47Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema kwamba, taifa hilo linakabiliwa na "kuongezeka kwa kasi" kwa idadi ya wagonjwa wa Homa ya nyani, Mpox. Msemaji wa serikali Patrick Muyaya amesema kuwa, idadi ya wanaoshukiwa kupata maambukizi ya homa hiyo imefikia watu 11,166, ikiwa ni pamoja na vifo 450.
-
Uganda wasisitiza kuandama licha la onyo kali la Rais Museveni
Jul 22, 2024 03:47Waandamanaji nchini Uganda wametangaza kuwa, wataendelea na mipango yao ya kufanya mkusanyiko mnamo Jumanne ijayo licha ya marufuku na serikali.
-
Rais wa Tanzania afanya mabadiliko ya mawaziri, abadilisha mawaziri wawili muhimu
Jul 21, 2024 23:29Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri na kuwaondoa mawaziri wawili.
-
Ruto: Watu wasiofahamika wanaoibua ghasia wanatishia demokrasia ya Kenya
Jul 21, 2024 23:01Rais William Ruto wa Kenya amewatuhumu watu wasiojulikana wanaoibua machafuko kuwa wanatishia demkrasia ya nchi hiyo kufuatia maandamano yanayoikumba nchi hiyo.
-
DRC yamuita balozi wa Uganda kujadili tuhuma za kuunga mkono M23
Jul 21, 2024 07:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemuita balozi mdogo wa Uganda nchini humo, baada ya Umoja wa Mataifa kusema katika ripoti yake kwamba, jeshi la Uganda limewauga mkono waasi wa M23 wanaoendesha harakati zao mashariki mwa DRC.
-
AU yaidhinisha mkakati wa Akili Mnemba na ustawi wa matumizi ya dijitali ili kukuza maendeleo ya Afrika
Jul 20, 2024 23:03Baraza Kuu la Umoja wa Afrika (AU) limeidhinisha Mkakati wake wa kutumia Akili Mnemba yaani Artificial Intelligence pamoja na ustawi wa matumizi ya dijitali kwa ajili ya kukuza maendeleo barani Afrika.
-
Uchimbaji madini wasitishwa katika jimbo lenye utajiri wa nishati hiyo huko DRC
Jul 20, 2024 08:05Mamlaka katika moja ya majimbo yenye utajiri mkubwa wa madini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, imetangaza kusimamishwa kwa shughuli zote za uchimbaji madini ili "kurejesha utaratibu" katika sekta hiyo.