-
Indonesia: Tupo tayari kuendelea kuwekeza Tanzania
Jul 20, 2024 07:49Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo amesema kuwa, Jamhuri ya Indonesia itaendelea kuwekeza nchini Tanzania katika sekta mbalimbali.
-
AU: Afrika ina uhaba wa walimu milioni 15
Jul 20, 2024 02:44Bara la Afrika linakabiliwa na upungufu wa walimu zaidi ya milioni 15. Hayo yamesemwa na Mohammed Belhocine, Kamishna wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Umoja wa Afrika katika kikao na waandishi wa habari pambizoni mwa Kikao cha 45 cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya AU, mjini Accra, Ghana.
-
Rais wa Tunisia kuwania tena kiti cha urais licha ya malalamiko ya wapinzani
Jul 19, 2024 23:27Rais Kais Saied wa Tunisia alisema jana Ijumaa kuwa atagombea tena kiti cha urais katika uchaguzi wa mwezi Oktoba. Hii ni katika hali ambayo Shirika la Amnesty International hivi karibuni lilieleza kuwa serikali ya Tunisia imezidisha ukandamizaji dhidi ya vyama na harakati za kisiasa nchini humo.
-
Rais Ruto wa Kenya awarejesha mawaziri 6 wa zamani kati ya wateule 11, wengine kufuatia
Jul 19, 2024 11:33Rais William Ruto wa Kenya amerudisha mawaziri sita wa zamani kati ya 11 aliowateua kwenye Baraza lake jipya la Mawaziri.
-
Umoja wa Mataifa walaani kukiukwa haki za binadamu katika magereza CAR
Jul 19, 2024 03:54Umoja wa Mataifa umelaani vikali ukiukaji wa haki za binadamu unaofanyika katika magereza ya Jamhuri ya Afrika ya Kati
-
Pande hasimu za Sudan zakutana Geneva kujadili mgogoro wa kibinadamu
Jul 19, 2024 03:54Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yalianza Julai 11 nchini Uswisi kati ya wajumbe kutoka kwa pande mbili hasimu nchini Sudan, chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa, ili kujaribu kufikia uusitishaji mapigano na kuruhusu kuwafikia watu walio hatarini.
-
WHO yasikitishwa na mashambulizi dhidi ya hospitali na vituo vya afya Sudan
Jul 19, 2024 00:19Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza wasiwasi lilionao kutokana na kuongezeka mashambulio yanayolenga hospitali na vituo vingine vya kutoa huduma za afya nchini Sudan.
-
Al-Tijani Sissi: Makosa ya kipindi cha mpito yameitumbukiza Sudan kwenye vita
Jul 19, 2024 00:15Mkuu wa Harakati ya Kitaifa nchini Sudan, Al-Tijani Sissi, amesema makosa makubwa yaliyofanywa katika kipindi cha mpito, ikiwa ni pamoja na kutengwa baadhi ya makundi na matiokeo yake kama pengo lililojitokeza katika jamii ya Sudan, viliitumbukiza Sudan katika vita vya ndani mnamo Aprili 15, 2023.
-
Tume ya Taifa ya Uchaguzi Rwanda: Kagame ameshinda kwa muhula wa nne
Jul 18, 2024 12:01Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Rwanda (NEC) imetangaza - leo, Alhamisi - kwamba Paul Kagame ameshinda muhula wa nne wa miaka 5, baada ya kupata 99.18% ya kura, kulingana na matokeo kamili ya kura za uchaguuzi wa rais uliyofanyika Jumatatu iliyopita.
-
Ruto amteua Mudavadi kusimamia wizara zote wiki moja baada ya kuvunja baraza la mawaziri
Jul 18, 2024 11:55Rais William Ruto wa Kenya amemteua waziri wake wa mambo ya nje Musalia Mudavadi kuwa "kaimu msimamizi wa wizara zote” nchini humo wiki moja baada ya kulivunja baraza lake la mawaziri.