-
Wapinzani nchini Kenya wapinga mazungumzo ya muungano na serikali
Jul 18, 2024 07:14Muungano wa upinzani nchini Kenya unaoongozwa na kiongozi wake mkongwe Raila Odinga umefutilia mbali uwezekano wa kufanya mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano na serikali kufuatia maandamano ya hivi karibuni ya kupinga nyongeza ya ushuru, maandamano ambayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40.
-
Libya yaitisha kongamano la Nchi zinazopakana na Bahari ya Medeterania kuhusu suala la uhamiaji
Jul 18, 2024 02:19Viongozi wa Ulaya na Afrika walikutana nchini Libya jana Jumatano katika Kongamano la Wahamiaji Wanaovuka Bahari ya Mediterania ikiwa ni katika juhudi za kutafuta suluhisho la mgogoro wa wimbi kubwa la wahamiaji haramu wanaotumia bahari hiyo.
-
Mkutano wa 6 wa Uratibu wa Katikati ya Mwaka wa AU kuanza keshokutwa Jumamosi nchini Ghana
Jul 18, 2024 02:18Umoja wa Afrika (AU) umepanga kuitisha Mkutano wa 6 wa Uratibu wa Katikati ya Mwaka ambao utauleta pamoja umoja huo na jumuiya nyingine za kikanda pamoja na nchi wanachama wa AU. Mkutano huo utafanyika keshokutwa Jumamosi Julai 21, 2024, mjini Accra, Ghana.
-
MSF yataka mashirika ya Umoja wa Mataifa kurejea Sudan
Jul 17, 2024 23:01Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limetoa mwito kwa mashirika ya Umoja wa Mataifa kurejea Sudan.
-
Kifo kimoja kati ya vitano vya ajali za barabarani duniani hutokea Afrika
Jul 17, 2024 22:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema katika ripoti yake kuwa ajali ya barabarani katika muongo uliopita zimeongezeka kwa kiasi kikubwa katika kanda ya Afrika, na kwamba mwaka 2021 pekee karibu watu 250,000 walipoteza maisha katika ajali za barabarani barani humo.
-
MSF: Theluthi moja ya waliojeruhiwa vitani huko Sudan ni wanawake au watoto wadogo
Jul 17, 2024 09:39Baada ya kupita zaidi ya mwaka mmoja wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan, karibu theluthi moja ya waliojeruhiwa ni wanawake au watoto walio na umri wa chini ya miaka 10. Ripoti hii imeelezwa na Shirika la Misaada ya Kimatibabu la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF).
-
Polisi Afrika Kusini: Kupunguza uhalifu kutaendelea kuwa kipaumbele chetu
Jul 17, 2024 06:59Waziri wa Jeshi la Polisi la Afrika Kusini, Senzo Mchunu amesema kwamba, kupunguza uhalifu wa kutumia silaha, unyanyasaji wa kijinsia na mauaji ya wanawake kutaendelea kuwa moja ya vipaumbele vya juu kwa idara hiyo ya polisi kwani kiwango cha uhalifu bado ni kikubwa sana nchini Afrika Kusini.
-
Ripoti: Njaa inawasumbua zaidi Wasudani kuliko vita, milioni 10 wamelazimika kukimbia makazi yao
Jul 17, 2024 03:37Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kwamba zaidi ya Wasudan milioni 10 wamekimbia kutoka miji na vijiji vyao tangu kuanza vita vya ndani mwezi Aprili 2023, huku njaa ikiendelea kuathiri raia wengi wa nchi hiyo.
-
Rais Kiir: Uchaguzi Sudan Kusini utafanyika kama ilivyopangwa
Jul 17, 2024 00:37Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema kuwa, uchaguzi wa nchi hiyo utafanyika katika muda uliopangwa.
-
Gen Z waandamana tena leo nchini Kenya kumshinikiza Ruto ajiuzulu
Jul 16, 2024 08:05Maandamano ya vijana wa kizazi cha Gen Z nchini Kenya ambayo katika siku za hivi kariibuni yameitikisa serikali ya Rais William Ruto yamefanyika leo pia katika baadhi ya miiji mikubwa ya nchi hiyo.