-
Wananchi wa Korea Kusini waandamana kuunga mkono Palestina na kuilaani Israel
Jan 11, 2026 02:42Raia wa Korea Kusini wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul na kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza na kulaani sera za utawala haramu wa Israel.
-
Umoja wa Mataifa: Watu milioni 30 nchini Sudan wanahitajia msaada wa haraka
Jan 11, 2026 02:40Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu milioni 30 nchini Sudan wanahitajia msaada wa haraka wa kibinadamu.
-
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Oman wasisitiza kuimarisha uhusiano wa nchi zao
Jan 11, 2026 02:38Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamesisitiza azma thabiti ya nchi zao ya kuimarisha na kupanua uhusiano wa nchi zao katika nyanja mbalimbali.
-
Mamdani ala kiapo kwa Qur'ani, sasa rasmi ni Meya wa New York
Jan 01, 2026 08:36Zohran Mamdani leo amekuwa Meya wa kwanza wa Jiji kubwa zaidi la Marekani la New York baada ya kuula kiapo akitumia kitabu cha Qur'ani.
-
Kumbukumbu ya Haj Qassem na Abu Mahdi al-Muhandis yafanyika Baghdad
Jan 01, 2026 03:04Kumbukumbu ya mwaka wa 6 tangu kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH na Abu Mahdi al Muhandis, Naibu Mkuu wa harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq ya al Hashd al Sha'abi imefanyika katika mji mkuu wa Iraq Baghdad.
-
Jibu la Iran kwa uchokozi wowote litamfanya adui ajute
Dec 31, 2025 08:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba jibu la Iran kwa uchokozi wowote litamfanya adui ajute.
-
Mauzo ya nje ya Iran barani Afrika yamepanda kwa 77% katika miezi minane iliyopita
Dec 30, 2025 12:36Takwimu rasmi zinaonyesha ukuaji wa mauzo ya nje ya Iran kwa nchi za Afrika katika miezi minane iliyopita.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi katika msikiti wa Imam Ali (as) nchini Syria
Dec 28, 2025 03:44Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika Msikiti wa Imam Ali ibn Abi Talib (AS) katika kitongoji cha Wadi al Dhahab katika mkoa wa Homs , Syria na kuuwa shahidi watu 5 na kujeruhi wengine 21.
-
Iran yalaani hatua ya Israel ya kukiuka mamlaka ya kujitawala Somalia
Dec 28, 2025 03:35Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kukiukaji wazi mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi ya Somalia.
-
Balozi wa Iran nchini Russia na Mufti wa Moscow wasisitiza ushirikiano wa kidini
Dec 27, 2025 12:17Kazem Jalali, balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Russia amekutana na kufanya mazungumzo na Albir Hazrat Krganov, Mufti wa Moscow na Mwenyekiti wa Baraza la Kiroho la Waislamu wa Russia, na kujadili namna ya kupanua ushirikiano wa kidini.