-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel akiri kutengwa utawala huo kisiasa
Aug 27, 2025 12:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kutengwa na kuzingirwa kisiasa utawala huo katika ngazi za kimataifa.
-
Afisa mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon: Muqawama hauwezi kusalimu amri
Aug 24, 2025 11:56Mkuu wa Baraza la Utendaji la Hizbullah huku akisisitiza kuwa, uamuzi wa serikali ya Lebanon wa kuupokonya silaha muqawama ni uamuzi usio wa kisheria wala halali amesema: Muqawama ni utamaduni na utambulisho usioweza kutokomezwa.
-
Pongezi za Kamati za Muqawama wa Palestina/Yemen yafanyia majaribio kombora jipya dhidi ya Israel
Aug 24, 2025 11:53Katika shambulio lake la Ijumaa usiku Yemen ilifanyia majaribio kwa mafanikio kombora jipya dhidi ya adui Mzayuni, jambo ambalo lilizifurahisha sana kamati za muqawama wa Palestina na kuzifanya ziwashukuru watu wa Yemen kwa mafanikio hayo.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa: Ni wakati wa kuchukua hatua; tunahitaji usitishaji mapigano mara moja Gaza
Aug 24, 2025 12:02Msemaji wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema kuhusiana na tangazo rasmi la mgogoro wa baa la njaa huko Gaza, kwamba anaamini kuwa sasa ni wakati wa kuchukuliwa hatua na kwamba usitishaji mapigano unapasa kutekelezwa mara moja na misaada ya kibinadamu kuruhusiwa kuingia katika ukanda huo bila masharti wala vikwazo vyovyote.
-
Kukanusha kukaribia kusainiwa makubaliano ya usalama kati ya serikali ya mpito ya Syria na utawala wa Israel
Aug 24, 2025 11:59Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya serikali ya mpito ya Syria siku ya Jumamosi ilikanusha habari iliyochapishwa kuhusu kukaribia kusainiwa kwa makubaliano ya usalama kati ya Damascus na utawala wa Kizayuni.
-
Sisitizo la Iran na China la kuimarisha na kuharakisha ushirikiano wa kielimu na kiteknolojia
Aug 21, 2025 07:51Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Ushirikiano wa Kielimu na Kiteknolojia la Iran amegusia historia angavu na ya kirafiki ya uhusiano kati ya Iran na China na kusisitiza haja ya kupanuliwa na kuharakishwa ushirikiano wa kielimu na kiteknolojia kati ya nchi mbili.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri: Mpango wa nyuklia wa Iran hauna suluhisho la kijeshi
Aug 21, 2025 08:10Katika mazungumzo yake ya simu na Steve Wittkoff, Mjumbe wa Rais wa Marekani katika Masuala ya Asia Magharibi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesisitiza juu ya ulazima wa kupunguzwa mivutano katika eneo hili na kusema kuwa, mpango wa nyuklia wa Iran hauna suluhisho la kijeshi.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kombora jipya la Iran litatumika kukabiliana na chokochoko mpya za adui
Aug 21, 2025 07:55Brigedia Jenerali Aziz Nasirzadeh, Waziri wa Ulinzi na Msaada kwa Vikosi vya Wanajeshi wa Iran akizungumzia kudhibitiwa vyombo vya habari na utawala wa Kizayuni wakati wa vita vya siku 12 ambapo havikuruhusiwa kuonyesha namna makombora ya Iran yalivyofanya uharibifu mkubwa dhidi ya maslahi ya utawala huo amesema: 'Tuna makombora yenye uwezo mkubwa na bora zaidi kuliko hapo awali, ambayo yatatumika kukabiliana na uwezekano wa chokochoko mpya za adui.'
-
Hamas: Chaguo la muqawama litaendelea kuwepo madamu uvamizi utaendelea
Aug 21, 2025 07:54Mshauri wa Vyombo vya Habari wa Mkuu wa Ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ametangaza kuwa harakati hii itakabiliana vikali na hali zote zinazowezekana, ikiwa ni pamoja na utekelezaji wa mpango wa utawala haramu wa Israel wa kukalia kwa mabavu Ukanda wa Gaza.
-
Iran yalaani siasa za Marekani za kuchochea vita dhidi ya Venezuela
Aug 21, 2025 07:48Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani tishio la Marekani la kutumia mabavu dhidi ya mamlaka ya kitaifa na umoja wa ardhi ya Venezuela.