-
Wasiwasi wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri kuhusu kuendelea mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Ghaza
Aug 21, 2025 07:45Katika mazungumzo yao ya simu, mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Misri wameeleza kusikitishwa kwao na kuendelea mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni huko Gaza.
-
Hamas yataka watawala wa Israel wahukumiwe
Aug 20, 2025 08:10Katika taarifa yake, Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetaka viongozi wa utawala wa Kizayuni akiwemo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu wahukumiwe katika mahakama za kimataifa.
-
Kwa nini Iran, China na Russia zinachukulia Azimio nambari 2231 kuwa limemalizika?
Aug 20, 2025 10:58Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu anayeshughulikia Masuala ya Sheria na Kimataifa amesema: Iran, Russia na China zinaamini kuwa azimio nambari 2231 lilipaswa kusitishwa kwa wakati, na kwamba nchi tatu za Ulaya (Uingereza, Ujerumani na Ufaransa) hazina haki ya kisheria ya kuamilisha utaratibu wa snapback (trigger mechanism).
-
Rais Pezeshkian akaribishwa rasmi nchini Belarus
Aug 20, 2025 08:12Rais Alexander Lukashenko wa Belarus, siku ya Jumatano, alimkaribisha rasmi Rais Massoud Pezeshikian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Ikulu ya Rais, ambaye amesafiri mjini Minsk akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa na kiuchumi.
-
UNRWA: Zaidi ya watoto 540 wameuawa shahidi huko Gaza kila mwezi
Aug 20, 2025 08:02Shirika la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetangaza kuwa: Katika kipindi cha miezi mitano iliyopita, zaidi ya watoto 540 wameuawa shahidi katika mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
27 waliuawa shahidi katika shambulizi la kigaidi dhidi ya waumini wa misikiti kaskazini mwa Nigeria
Aug 20, 2025 06:48Waumini 27 wameuawa shahidi katika shambulio la kigaidi lililofanywa na watu waliokuwa na silaha kwenye msikiti mmoja kaskazini mwa Nigeria.