-
Kikosi cha Wanamaji cha IRGC chakamata meli ya mafuta kusini mwa Makran kwa kukiuka taratibu
Nov 16, 2025 02:31Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli ya mafuta katika pwani ya kusini ya Makran baada ya kupokea amri ya mahakama.
-
Al Burhan awataka Wasudan wote wabebe silaha dhidi ya RSF
Nov 15, 2025 04:23Mkuu w Jeshi la Sudan, Jenerali Abdel Fattah Al Burhan amemtaka kila Msudan abebe silaha kupambana na waasi wa RSF akisisitiza kwamba hakutakuwa na mapatano na waasi hao.
-
Rais wa Afrika Kusini: Kutohudhuria Marekani mkutano wa G20 ni hasara kwake
Nov 13, 2025 06:01Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesema kuwa, kikitisho cha Rais wa Marekani Donald Trump kwamba maafisa wa nchi yake hawatahudhuria mkutano wa G20 mjini Johannesburg ni hasara kwa Wamarekani.
-
Hizbullah: Mazungumzo na adui hayana maslahi na taifa
Nov 06, 2025 10:44Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imesitiza kuwa kufanya mazungumzo na adui si kwa maslahi yoyote ya kitaifa, na kubainisha kuwa baadhi walijaribu kukabidhi silaha za muqawama dhidi ya adui kama ushahidi wa nia njema ya Lebanon.
-
Ziara ya Gharibabadi nchini Saudi Arabia inalenga kuimarisha ushirikiano
Nov 06, 2025 10:31Naibu Waziri wa Sheria na Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesafiri hadi Saudi Arabia kwa ajenda ya kuimarisha ushirikiano.
-
China: Tunaunga mkono haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani
Nov 06, 2025 06:12Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kuwa, Beijing inaunga mkono haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
-
Zaidi ya Wapalestina 9,000 wanashikiliwa katika jela za Israel
Nov 05, 2025 19:03Taasisi tatu za Palestina zinazohusiana na masuala ya mateka zimetangaza kuwa, utawala wa Israel unawashikilia Wapalestina 9,250 katika jela zake.
-
ElBaradei akosoa kimya cha serikali za Kiarabu kuhusu jinai za Wazayuni huko Gaza
Nov 01, 2025 14:36Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki amekosoa kwenye ukurasa wake wa kibinafsi kwenye Jukwaa la X (zamani Twitter) misimamo ya serikali za Kiarabu kuhusu faili la kesi dhidi ya utawala wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ).
-
Mwanamfalme wa Uingereza avuliwa vyeo vyote vya kifalme
Nov 01, 2025 04:14Kasri ya Mfalme wa Uingereza, Buckingham Palace, ilitangaza jana Ijumaa kwamba Andrew, kaka wa mfalme wa Uingereza, atajulikana kama Andrew Mountbatten Windsor na si Mwanamfalme, na hatakuwa tena na haki ya kutumia vyeo vyake vyovyote vya kifalme.
-
Kutawishwa ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Moscow na Beijing
Nov 01, 2025 04:10Ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Moscow na Beijing unaendelea licha ya vikwazo vilivyowekwa na Umoja wa Ulaya.