-
Maelfu waandamana Washington dhidi ya Trump kabla ya kuapishwa tena kuwa rais wa Marekani
Jan 19, 2025 07:51Makumi ya maelfu ya Wamarekani wameandamana katika mji mkuu Washington dhidi ya rais mteule Donald Trump anayetazamiwa kuapishwa kesho Jumatatu.
-
Ulimwengu wa Michezo Januari 13, 2025
Jan 18, 2025 03:48Karibuni wapenzi wa spoti katika dakika hizi chache za kutupia jicho habari mbalimbali za Ulimwengu wa Michezo. Huenda leo kipindi chetu kikaangalia engo tofauti na tulivyoizoea ya michezo. Lakini pia tutavinjari kwenye viwanja mbalimbali vya spoti kama pale nyasi zilipowaka moto kwenye uwanja wa Gombani, mkoa wa Kusini Pemba katika mashindano ya Mapinduzi Cup, lakini zaidi tutajikita zaidi kwenye engo mpya kidogo. Mtayarishaji na msimulizi wako wiki hii ni mimi Ahmed Rashid.
-
Kama si Iran, nani atakayeunusuru ulimwengu na shari ya wazi na iliyojificha ya Israel?
Jan 10, 2025 03:58Kwa miaka mingi sasa Israel imekuwa ikitekeleza sera za ardhi iliyochomwa (scorched-earth policy) katika eneo la Asia Magharibi. Kuanzia mashambulizi yasiyosita katika Ukanda wa Gaza na mauaji ya kimbari ya raia wa Palestina hadi kuwauwa kigaidi wasomi wa nyuklia wa Iran na mashambulizi ya anga dhidi ya Syria, ni sehemu ya sera za Israel ambazo zimejikita katika kueneza vita na hali ya mchafukoge.
-
Mzayuni mwenye misimamo mikali atupwa nje ya ndege baada ya kuivunjia heshima Palestina + Video
Jan 07, 2025 10:05Abiria wa kiyahudi mwenye misimamo ya kufurutu ada amefukuzwa na kushushwa kwenye ndege ya shirika la ndege la American Airlines baada ya kuvunjia heshima nembo ya mshikamano na Wapalestina.
-
Kumbukumbu ya kuuliwa shahidi Qassem Soleimani
Jan 03, 2025 08:21Shahidi Luteni Jenerali Qassim Soleimanim aliuawa tarehe 3 Januari 2020 kwa ndege ya kivita ya jeshi la kigaidi la Marekani akiwa safarini nchini Iraq kwa mwaliko rasmi wa waziri mkuu wa nchji hiyo. ****
-
Jumatatu tarehe 30 Disemba 2024
Dec 29, 2024 23:25Leo ni Jumatatu tarehe 28 Jumadithani 1446 Hijria sawa na Disemba 30 mwaka 2024.
-
Yemen yayatwanga tena kwa makombora maeneo kadhaa ya Israel + Video
Dec 24, 2024 03:22Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimetangaza kuwa, mapema leo Jumanne kumesikika sauti za miripuko mikubwa mjini Tel Aviv na kwenye maeneo mengine ya katikati mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni ambazo zimepachikwa jina bandia la Israel.
-
Jumatatu tarehe 9 Disemba 2024
Dec 09, 2024 09:52Jumatatu tarehe 7 Jamadithani 1446 Hijria sawa na Disemba 9 mwaka 2024.
-
Kwa mara nyingine rais kizee wa Marekani achapa usingizi mbele ya kamera barani Afrika + VIDEO
Dec 05, 2024 23:03Kwa mara nyingine dunia imeshuhudia jinsi rais kizee wa Marekani anavyoazirika mbele ya kamera za kimataifa wakati alipoonekana akichapa usingizi na baadaye kujifanya kama hakusinzia.
-
Ujerumani; Kuanzia historia yake ya giza hadi kuunga mkono Israeli katika vita vya Gaza
Nov 28, 2024 05:31Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha leo cha Makala ya Wiki ambachao kinazungumzia uungaji mkono usio na kikomo wa Ujerumani na kushirikiana kwake na utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vya Gaza.