-
Ulimwengu wa Spoti, Oktoba 28
Oct 28, 2024 09:44Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia....
-
Israel yatwangwa kwa zaidi ya makombora 50 katika kipindi cha dakika mbili + Video
Oct 24, 2024 11:55Jeshi la utawala wa Kizayuni limetangaza kuwa, maeneo ya al Jalil ya kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni yamepigwa kwa makombora 50 katika kipindi cha dakika mbili huku Israel ikishindwa kutungua makombora hayo.
-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Yahya Sinwar
Oct 24, 2024 10:38Karibuni wapendwa wasikilizaji wa Radio Tehran katika Makala yetu ya Wiki ambayo inahusu kumbukumbu ya shahidi Yahya Sinwar aliyekuwa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Gaza; Jahannamu ya waandishi wa habari
Oct 23, 2024 08:13Hamjambo wasikilizaji wapendwa na karibuni kufuatilia kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinabeba anwani: Gaza, Jahanamu ya Waandishi wa Habari”.
-
Wakati Israel ilipofedheheshwa katika mkutano wa IPU; Tulia Ackson ajitetea kwa nguvu zote + Video
Oct 16, 2024 11:02Wabunge wa nchi mbalimbali duniani wameususia utawala wa Kizayuni wa Israel na kutoka nje ya ukumbi wakipiga nara za ukombozi wa Palestina wakati wa Mkutano Mkuu wa 149 wa Muungano wa Mabunge ya Umoja wa Mataifa (IPU) mjini Geneva, Uswisi.
-
Spoti, Oktoba 14
Oct 14, 2024 07:21Hujambo msikilizaji mpendwa na hususan ashiki wa habari na za spoti. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa….
-
Spika wa Bunge la Iran akiwa rubani katika safari yake Lebanon + VIDEO
Oct 13, 2024 12:48Mohammad Bagher Ghalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) jana aliwasili Lebanon akiwa rubani wa ndege ya ujumbe wa Iran aliouongoza.
-
Iran na Oman zafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi + Video
Oct 11, 2024 02:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na jirani yake Oman zimefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyoshirikisha Jeshi la Majini la Iran, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH na Jeshi la Majini la Oman.
-
Hizbullah; urithi wa kudumu wa Sayyid Hassan Nasrallah
Oct 10, 2024 08:41Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinachunguza shambulizi na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah...
-
Jumanne 8 Oktoba, 2024
Oct 08, 2024 02:18Leo ni Jumanne tarehe 4 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria inayosadifiana na Oktoba 8 mwaka 2024