-
Gaza; Jahannamu ya waandishi wa habari
Oct 23, 2024 04:43Hamjambo wasikilizaji wapendwa na karibuni kufuatilia kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinabeba anwani: Gaza, Jahanamu ya Waandishi wa Habari”.
-
Wakati Israel ilipofedheheshwa katika mkutano wa IPU; Tulia Ackson ajitetea kwa nguvu zote + Video
Oct 16, 2024 07:32Wabunge wa nchi mbalimbali duniani wameususia utawala wa Kizayuni wa Israel na kutoka nje ya ukumbi wakipiga nara za ukombozi wa Palestina wakati wa Mkutano Mkuu wa 149 wa Muungano wa Mabunge ya Umoja wa Mataifa (IPU) mjini Geneva, Uswisi.
-
Spoti, Oktoba 14
Oct 14, 2024 03:51Hujambo msikilizaji mpendwa na hususan ashiki wa habari na za spoti. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa….
-
Spika wa Bunge la Iran akiwa rubani katika safari yake Lebanon + VIDEO
Oct 13, 2024 09:18Mohammad Bagher Ghalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) jana aliwasili Lebanon akiwa rubani wa ndege ya ujumbe wa Iran aliouongoza.
-
Iran na Oman zafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi + Video
Oct 10, 2024 23:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na jirani yake Oman zimefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi yaliyoshirikisha Jeshi la Majini la Iran, Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran SEPAH na Jeshi la Majini la Oman.
-
Hizbullah; urithi wa kudumu wa Sayyid Hassan Nasrallah
Oct 10, 2024 05:11Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho kinachunguza shambulizi na mauaji ya kigaidi ya Israel dhidi ya Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah...
-
Jumanne 8 Oktoba, 2024
Oct 07, 2024 22:48Leo ni Jumanne tarehe 4 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria inayosadifiana na Oktoba 8 mwaka 2024
-
Hizbullah; imara zaidi kuliko wakati wowote
Oct 06, 2024 23:11Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu ambacho kitazungumzia jinsi Hizbullah ya Lebanon ilivyokuwa imara na madhubuti hii leo kuliko wakati mwingine wowote.
-
Sayyid Hassan Nasrullah; Shahidi wa Njia ya Quds na Palestina
Oct 03, 2024 07:30Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel jioni ya Ijumaa (tarehe 6 Oktoba 2024) lilifanya mashambulizi ya kikatili ambayo hayajawahi kutokea katika viunga vya kusini mwa Beirut nchini Lebanon.
-
Wananchi wa mataifa ya eneo wafurahia na kupongeza shambulio la kijeshi la Iran dhidi ya Israel + Picha
Oct 02, 2024 05:26Shambulio halali kisheria la makombora lililofanywa na Iran kwa kulenga maeneo ya kijeshi ya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, na ambalo limetekelezwa kutokana na kuuawa shahidi viongozi wa Muqawama, limeibua wimbi kubwa la furaha na matumaini kwa wananchi wa eneo la Magharibi mwa Asia.