-
IRGC: Tumelenga moyo wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu kwa makombora ya balestiki + Picha
Oct 01, 2024 23:42Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limetangaza kuwa makumi ya makombora ya balistiki yametumika kulenga moyo wa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu ya Palestina (Israel).
-
Sayyid wa Muqawama, Shahidi Sayyid Hassan Nasrullah
Oct 01, 2024 07:50Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kuwa nami katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kuuawa shahidi Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sayyid Hassan Nasrullah.
-
Wanaharakati watoa mwito wa kukomeshwa mauaji dhidi ya wanawake Kenya
Sep 06, 2024 23:19Makundi ya wanawake nchini Kenya yametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za haraka ili kukabiliana na unyanyasaji wa kijinsia na mauaji dhidi ya wanawake katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Wazayuni wazidi kutwangana, waziri "aonja joto ya jiwe" + Video
Sep 05, 2024 02:34Wapinzani wa serikali ya Benjamin Netanyahu wamemshambulia waziri wa elimu wa utawala wa Kizayuni huku maandamano ya kupinga udikteta wa Netanyahu na serikali yake ya genge lenye misimamo mikali ya Kizayuni yakizidi kuwa makubwa na makali.
-
Ulimwengu wa Spoti, Sep 1
Sep 01, 2024 01:13Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa yaliyoripotiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa, kieneo na kimataifa…..
-
Iran yatoa mkono wa pole kufuatia vifo vya wananchi wa Sudan katika mafuriko + Video
Aug 28, 2024 03:04Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa mafuriko nchini Sudan.
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 26
Aug 26, 2024 01:33Hujambo mpenzi msikilizaji na hususan shabiki na mfuatiliaji wa habari za spoti. Karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa….
-
Jumapili, 25 Agosti, 2024
Aug 24, 2024 23:11Leo ni Jumapili 20 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria ambayo inasadifiana na 25 Agosti 2024 Miladia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Agosti 19
Aug 19, 2024 02:54Natumai hujambo mpenzi msikilizaji na hususan shabiki na mfuatiliaji wa habari za spoti. Karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kote duniani…
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 12
Aug 12, 2024 01:47Hujambo msikilizaji mpenzi na karibu tuangazie baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyoshuhidiwa kote duniani ndani ya siku saba zilizopita…..