-
Ulimwengu wa Spoti, Jul 8
Jul 08, 2024 07:22Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji, na karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio makubwa yaliyoshuhudiwa viwanjani ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.....
-
Ulimwengu wa Spoti, Julai Mosi
Jul 01, 2024 07:18Natumai u bukheri wa afya msikilizaji mpendwa hapo ulipo. Karibu katika dakika hizi chache za kuangazia kwa ufupi baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa.
-
Video na Picha za kombora la hypersonic la Yemen lililopiga meli ya Israel
Jun 27, 2024 06:26Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimesambaza video na picha zinazoonyesha kombora la balestiki la hypersonic la vikosi majeshi ya nchi hiyo lililotumika kupiga meli ya utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyekundu au Bahari ya Sham.
-
Ulimwengu wa Spoti, Juni 24
Jun 24, 2024 06:46Natumai u bukheri wa afya msikilizaji mpendwa, na karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.
-
Droni ya Hud-hud ya Hizbullah yazusha kiwewe katika safu za Wazayuni + Picha
Jun 23, 2024 10:54Ingawa vyombo vya habari vya serikali ya utawala wa Kizayuni vinapigana kufa na kupona kuchuja mno habari na kufifiliza athari za droni ya Hodhod ya Hizbullah ndani kabisa ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel lakini vinashindwa kuficha athari zake kubwa ikiwa ni pamoja na kiwewe kilichowakumba viongozi wa Israel.
-
Ansarullah yasambaza mkanda wa video unaoonesha namna inavyozamisha meli za maadui + Video
Jun 20, 2024 07:08Afisa mmoja wa harakati ya Ansarullah wa Yemen amethibitisha kuwa harakati hiyo imesambaza mkanda wa video unaoonesha operesheni za harakati hiyo dhidi ya meli ya Tutor iliyokaidi marufuku ya kutoelekea kwenye bandari za utawala wa Kizayuni.
-
Watu 21 wafariki dunia na kujeruhiwa baada ya basi la kanisa kuteketea kwa moto Zimbabwe
Jun 17, 2024 10:47Takriban Wakristo saba wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Manicaland waliokuwa wanatoka katika ibada ya kanisa la Bernard Mzeki mjini Marondera wameteketea kwa moja katika ajali mbaya iliyotokea eneo la Gandanzara wilayani Makoni baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuwaka moto ghafla.
-
Wanadiplomasia waandamizi wa Iran na Imarati wajadiliana maendeleo ya kikanda
Jun 16, 2024 06:25Wanadiplomasia wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Falme za Kiarabu wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kujadiliana matukio ya hivi karibu katika eneo hili na masuala yenye maslahi kwa pande zote mbili.
-
Kiongozi Muadhamu: Amali za Hija zinawatia wahaka maadui
Jun 14, 2024 14:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amali za ibada tukufu ya Hija zinawatia hofu na wasiwasi mkubwa maadui.
-
Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran
Jun 14, 2024 11:28Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema kuwa, hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeimarika mno kiasi kwamba mirengo yote ina wawakilishi wao katika uchaguzi ujao wa Rais humu nchini.