-
Ulimwengu wa Spoti, Juni 24
Jun 24, 2024 03:16Natumai u bukheri wa afya msikilizaji mpendwa, na karibu tuangazie japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia.
-
Droni ya Hud-hud ya Hizbullah yazusha kiwewe katika safu za Wazayuni + Picha
Jun 23, 2024 07:24Ingawa vyombo vya habari vya serikali ya utawala wa Kizayuni vinapigana kufa na kupona kuchuja mno habari na kufifiliza athari za droni ya Hodhod ya Hizbullah ndani kabisa ya ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel lakini vinashindwa kuficha athari zake kubwa ikiwa ni pamoja na kiwewe kilichowakumba viongozi wa Israel.
-
Ansarullah yasambaza mkanda wa video unaoonesha namna inavyozamisha meli za maadui + Video
Jun 20, 2024 03:38Afisa mmoja wa harakati ya Ansarullah wa Yemen amethibitisha kuwa harakati hiyo imesambaza mkanda wa video unaoonesha operesheni za harakati hiyo dhidi ya meli ya Tutor iliyokaidi marufuku ya kutoelekea kwenye bandari za utawala wa Kizayuni.
-
Watu 21 wafariki dunia na kujeruhiwa baada ya basi la kanisa kuteketea kwa moto Zimbabwe
Jun 17, 2024 07:17Takriban Wakristo saba wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Manicaland waliokuwa wanatoka katika ibada ya kanisa la Bernard Mzeki mjini Marondera wameteketea kwa moja katika ajali mbaya iliyotokea eneo la Gandanzara wilayani Makoni baada ya basi walilokuwa wakisafiria kuwaka moto ghafla.
-
Wanadiplomasia waandamizi wa Iran na Imarati wajadiliana maendeleo ya kikanda
Jun 16, 2024 02:55Wanadiplomasia wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Falme za Kiarabu wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu na kujadiliana matukio ya hivi karibu katika eneo hili na masuala yenye maslahi kwa pande zote mbili.
-
Kiongozi Muadhamu: Amali za Hija zinawatia wahaka maadui
Jun 14, 2024 11:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema amali za ibada tukufu ya Hija zinawatia hofu na wasiwasi mkubwa maadui.
-
Ayatullah Khatami: Mirengo yote ina wagombea wao kwenye uchaguzi ujao wa Rais nchini Iran
Jun 14, 2024 07:58Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa Tehran amesema kuwa, hivi sasa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeimarika mno kiasi kwamba mirengo yote ina wawakilishi wao katika uchaguzi ujao wa Rais humu nchini.
-
Chama kimoja cha siasa Malawi chataka UN kuchunguza ajali ya ndege iliyomuua Makamu wa Rais
Jun 14, 2024 07:55Chama cha siasa cha Malawi Alliance for Democracy kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, kikiuomba umoja huo kuingilia kati uchunguzi kuhusu ajali ya ndege iliyotokea Jumatatu na kumuua Makamu wa Rais wa Malawi Saulos Chilima na wengine wanane.
-
UNHCR: Idadi ya wakimbizi duniani imeongezeka na kufika milioni 120
Jun 14, 2024 03:41Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, idadi ya wakimbizi duniani imefikia milioni 120.
-
Ulimwengu wa Michezo, Mei 27
May 27, 2024 03:44Huu ni mukhtasari wa baadhi ya matukio makubwa ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika kona mbalimbali za dunia…..