-
Kiongozi Muadhamu amkumbuka Shahidi Rais Raeisi, ampongeza kwa uwajibikaji
May 21, 2026 04:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ametoa ujumbe wa kuadhimisha mwaka wa pili tangu kufa shahidi aliyekuwa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raeisi. Katika ujumbe huo, alimwelezea marehemu Rais Raeisi kama kiongozi aliyekuwa na hisia ya juu ya uwajibikaji, mwenye kuzingatia uadilifu, mwenye kuendesha diplomasia hai na yenye manufaa, na hasa aliyekuwa karibu na wananchi kwa unyenyekevu na huruma.
-
IRGC yaonya kuwa vita vipya dhidi ya Iran vitavuka mipaka ya eneo
May 21, 2026 04:40Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetoa onyo kali kwamba endapo vita dhidi ya Iran vitaanzishwa tena, basi vita vya kikanda vilivyoahidiwa hapo awali safari hii vitapanuka kuvuka eneo la Asia Magharibi, na kwamba mapigo mazito yataelekezwa kutoka maeneo ambayo adui hawezi kuyadhania.
-
Iran yakosoa upotoshaji wa CENTICOM kuhusu mauaji ya halaiki ya Minab
May 21, 2026 04:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha matamshi ya Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) kuhusu mashambulizi ya ya makombora yaliyofanywa katika shule ya msingi ya Shajareh Tayyebeh huko Minab kusini mwa Iran na kuyataja kuwa "yasiyo na msingi".
-
Kiongozi Muadhamu: Nguvu inayojitokeza ya Iran inahusiana moja kwa moja na ongezeko la idadi ya watu
May 20, 2026 11:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kupanda hadhi ya Iran ya kuwa taifa kubwa na lenye taathira kunahusiana moja kwa moja na ongezeko la idadi ya watu wake, na kutoa wito wa kuzidishwa juhudi za kukuza utamaduni wa kuzaa watoto.
-
Mkuu wa vyombo vya mahakama: Shahidi Raisi alijitolea kuwatumikia wananchi
May 20, 2026 11:09Mkuu wa vyombo vya Mahakama vya Iran anasema kuwa Rais Shahidi Ebrahim Raisi alijitolea kwa dhati kuwatumikia wananchi na kusabilia maisha yake kwa ajili ya Iran.
-
Iran yatahadharisha kuhusu Marekani kulitumia vibaya Baraza la Usalama la UN
May 20, 2026 11:06Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameeleza kuwa: "Marekani inalitumia vibaya Baraza la Usalama kwa kueneza uwongo na tuhuma zisizo na msingi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mpango wake wa nyuklia."
-
Jeshi la Iran: Medani mpya za mapambano zitafunguliwa ikiwa adui atatumbukia katika mtego wa Israel
May 20, 2026 03:26Jeshi la Iran limeonya kuwa iwapo adui ataanguka tena katika mtego wa Israel na kuanzisha uchokozi mwingine dhidi ya Iran, jeshi la taifa litafungua medani mpya ya mapambano kwa kutumia zana na mbinu mpya.
-
Kulegeza kamba mara kwa mara Trump, ishara ya kuemewa mbele ya Iran
May 20, 2026 03:01Pars Today - Rais wa Marekani Donald Trump, kwa mara ya kumi na moja katika kipindi cha wiki chache tu, amerudia tena majigambo yake ya kuishambulia Iran lakini baadaye anatafuta kisingizio cha kuakhirisha kushambulia.
-
Intelijensia ya Iran yasambaratisha kundi la magaidi wa kitakfiri wenye uhusiano na Israel
May 20, 2026 02:50Timu za upelelezi za Iran zimefanikiwa kusambaratisha seli nne za wanamgambo wa Kitakfri wenye mfungamano na utawala wa Israel katika mkoa wa Sistan na Baluchistan, kusini mashariki mwa Iran mkoa unaopakana na Pakistan.
-
Mshauri wa Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran na vikosi vya jeshi vitailazimisha Marekani kusalimu amri
May 19, 2026 12:48Mshauri mkuu wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kwamba mkono wa chuma wa vikosi vya jeshi na taifa thabiti la Iran vitailazimisha Marekani kurudi nyuma na kusalimu amri.