-
Kiongozi wa Mapinduzi: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama ya Saudia na Imarati ya kuigawanya Yemen
Aug 13, 2019 12:44Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, Saudi Arabia na Imarati zinataka kuigawanya Yemen; na akasisitiza kwamba: Inalazimu kusimama na kukabiliana kwa nguvu zote na njama hiyo na kuunga mkono Yemen moja, iliyoungana na yenye ardhi yake yote kamili.
-
Iran yaunga mkono kuanza mchakato wa kumtibu kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Aug 13, 2019 06:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono mchakato wa kuanza kumpatia matibabu Sheikh Ibrahim Zakzaky kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na kueleza kufurahishwa na hatua ya kuelekea India Sheikh Zakzaky na mkewe kwa ajili ya matibabu.
-
IRGC: Vita vinaweza kutokea Israel ikijiingiza Ghuba ya Uajemi; US, UK ndizo zitakazobeba dhima
Aug 12, 2019 10:36Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeonya kuwa kuwepo kwa namna yoyote ile utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ghuba ya Uajemi kunaweza kusababisha vita katika eneo hilo na kusisitiza kwamba, Marekani na Uingereza ndizo zitakazobeba dhima ya matokeo hasi ya uwepo huo haramu.
-
Hujjatul-Islam Abu Turabi Fard: Tawala za Kizayuni, Aal Saud na Aal Khalifa zitatoweka tu
Aug 12, 2019 10:16Khatibu wa Sala ya Idul-Adh'ha iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amegusia jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel, utawala wa Aal Saud wa Saudi Arabia na utawala wa Aal Khalifawa nchini Bahrain na kusisitiza kuwa: Tawala hizo hatimaye zitatoweka tu.
-
Iran ya Kiislamu yasali Swala ya Idul Adh'ha
Aug 12, 2019 00:15Swala ya idul Adh'ha imefanyika leo asubuhi kwa kuhudhuriwa na wananchi wengi katika Iran nzima ya Kiislamu.
-
Iran: Ni kupoteza wakati kwa Washington kusubiri kufanya mazungumzo na Iran
Aug 11, 2019 22:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa ni bure na upuuuzi kwa Washington kuwa na matarajio kwamba, viongozi wa Marekani watafanya mazungumzo ya simu na wa Iran.
-
Rais Rouhani awatumia salamu za Idi viongozi wa nchi za Kiislamu
Aug 11, 2019 14:14Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe viongozi wa nchi za Kiislamu akiwapa mkono wa baraka na fanaka kwa mnasaaba wa kuadhimisha sikukuu ya Idul Adh'ha.
-
Rouhani: India na Pakistan zivute subira ili kuzuia machafuko huko Kashmir
Aug 11, 2019 09:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa Pakistan kwamba: Iran inazitolea wito India na Pakistan zizuie machafuko na kuuliwa watu wasio na hatia katika eneo la Kashmir kwa pande mbili hizo kuwa na subira na uvumilivu.
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji; kujibari na washirikina fursa kwa ajili ya mataifa madhulumu ya Waislamu
Aug 11, 2019 06:22Marasimu ya kujibari na kujiweka mbalii na washirikina yalifanyika jana Jumamosi katika jangwa la Arafa kwa kusomwa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu na Waislamu wote.
-
Zarif: Marekani inahofia kushindwa katika uga wa diplomasia
Aug 10, 2019 23:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Marekani ina wasiwasi na kuhofia kushindwa katika uga wa diplomasia.