-
Dakta Zarif: Nimewekewa vikwazo baada ya kukataa pendekezo la kukutana na Trump
Aug 05, 2019 07:20Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria safari yake ya mwezi uliopita huko New York na kusema kuwa, "niliambiwa nitawekewa vikwazo katika kipindi cha wiki mbili zijazo isipokuwa kama nitakubali kukutana na Rais Donald Trump wa Marekani."
-
Sababu zilizoifanya Imarati ibadilishe muelekeo wake kuhusiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 05, 2019 02:30Serikali ya Imarati (UAE) imebadilisha mtazamo na muelekeo wake kuhusu matukio ya eneo la Magharibi ya Asia na Ghuba ya Uajemi, ambapo mbali na kuamua kujiondoa kijeshi nchini Yemen inafuatilia pia kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa ajili ya kupunguza mivutano.
-
Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Haki za Binadamu za Kiislamu waanza Tehran
Aug 04, 2019 09:45Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Haki za Binadamu za Kiislamu umeanza leo mjini Tehran ukihudhuriwa na wataalamu wa Kiirani na wasomi na wanafikra kutoka nchi za Kiislamu.
-
Meli ya kigeni iliyobeba lita laki saba za mafuta ya magendo yakamatwa kusini mwa Iran
Aug 04, 2019 09:23Kikosi cha wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imekamata meli moja ya kigeni iliyobeba lita laki saba za mafuta ya magendo kandokando ya kisiwa cha Farsi kusini mwa Iran.
-
Dakta Zarif: Kwa hali ilivyo, Iran itatekeleza tu awamu ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA
Aug 03, 2019 09:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kutokana na anga inayotawala na mazingira yalivyo hivi sasa, Iran itatekeleza tu awamu ya tatu ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Zarif amwambia Pompeo: Kipindi cha "madola makubwa" kimepita
Aug 03, 2019 02:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwambia wenzake wa Marekani kwamba kipindi cha madola makubwa kimepita muda mrefu huko nyuma.
-
Vikwazo dhidi ya Zarif; upinzani wa kimataifa dhidi ya Marekani
Aug 02, 2019 20:54Hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekabiliwa na upinzani mkali wa jamii ya kimataifa, hatua ya kisiasa ambayo imekosolewa hata ndani ya Marekani kwenyewe.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Marekani imechanganyikiwa na inatangatanga kimkakati
Aug 02, 2019 10:57Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema, hatua ya Marekani ya kumwekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ni kitendo kisicho na maana, cha kitoto na cha kuchekesha na akasisitiza kuwa: Hatua hii ni ishara ya kuchanganyikiwa na kutangatanga kimkakati watawala wa Marekani.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Aug 02, 2019 03:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili katu halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya serikali ya Marekani.
-
Mbunge wa Iran akosoa kimya cha watetezi wa haki za binadamu kuhusu kushikiliwa Sheikh Zakzaky
Aug 02, 2019 03:15Sheikh Alireza Salimi, mwakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kimya cha mashirika ya kutetea haki za binadamu kuhusiana na kuendelea kushikiliwa korokoroni Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria