-
Umoja wa Ulaya wapinga vikwazo vya Marekani dhidi ya Dakta Zarif, wasema utashirikiana naye
Aug 01, 2019 20:48Umoja wa Ulaya umepinga vikwazo vya Marekani dhidi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na kutangaza kuwa, utaendelea kushirikiana naye.
-
Rais Rouhani: Marekani imeshindwa na kufeli mbele ya taifa la Iran
Aug 01, 2019 08:02Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mwaka jana maadui wa taifa la Iran walidai kuwa wanaweza kuuondoa madarakana mfumo wa Kiislamu unaotawala Iran, kuvunja uhuru wake na kuweka hatamu za nchi hiyo katika mikono ya White House, lakini hawakujua kwamba taifa la Iran litashinda na kuzima mashinikizo ya adui.
-
Vikwazo dhidi ya Zarif; maigizo ya kukata tamaa Marekani mbele ya nguvu ya diplomasia ya Iran
Aug 01, 2019 07:11Tangu serikali ya Rais Donald Trump ilipoingia madarakani nchini Marekani, ikiwa na lengo la kutekeleza 'siasa za mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi' ilitanguliza mbele siasa za kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo vya upande mmoja na vyenye wigo mpana.
-
Marekani yaendeleza uraibu wa vikwazo, yamuwekea vikwazo Zarif
Aug 01, 2019 03:28Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza uraibu wa nchi hiyo wa kuziwekea vikwazo nchi mbalimbali kwa kuliweka jina la Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika orodha ya watu waliowekewa vikwazo na nchi hiyo.
-
Zarif akosoa siasa za kindumakuwili za serikali ya Marekani
Jul 31, 2019 22:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa siasa na mienendo ya kindumakuwili ya Marekani kuhusiana na Iran na nchi tegemezi kwa serikali ya Washington.
-
Msimamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu jinai za utawala wa Bahrain
Jul 31, 2019 11:11Ofisi ya Kulinda na Kusambaza Athari za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza msimamo wa Ayatullah Ali Khamenei kuhusu jinai zinazofanywa na utawala wa Aal Khalifa huko Bahrain baada ya utawala huo kuwaua shahidi vijana wawili wa nchi hiyo kwa tuhuma bandia.
-
Zarif: Kwa hali ilivyo hivi sasa, Iran itatekeleza tu hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA
Jul 31, 2019 08:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria kuhalifu ahadi kunakofanywa na nchi za Ulaya katika kutekeleza majukumu yao kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kwamba: Kwa hali ilivyo hivi sasa, na kama Ulaya haitachukua hatua za lazima zinazotakikana, Iran itatekeleza tu hatua ya tatu kuhusiana na makubaliano hayo.
-
Iran na Imarati zasisitiza kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kudhamini usalama wa Ghuba ya Uajemi
Jul 30, 2019 20:46Kamanda wa kikosi cha walinzi wa mpakani cha jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kamanda wa gadi ya pwani ya Imarati wamesisitizia kuimarishwa uhusiano wa kidiplomasia wa nchi mbili na kudhaminiwa usalama wa Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman.
-
Larijani: Kustawishwa uhusiano wa Iran na China ni kwa maslahi ya amani na usalama wa dunia
Jul 30, 2019 09:01Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kustawishwa uhusiano wa Tehran na Beijing ni kwa ajili ya amani na usalama wa dunia na kueleza kuwa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kuimarishwa uhusiano kati ya nchi mbili.
-
Hossein Amir-Abdollahian: Marekani chanzo cha ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan
Jul 30, 2019 03:15Hossein Amir-Abdollahian, Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, siasa mbovu za Marekani ndio chimbuko la ukosefu wa usalama na amani nchini Afghanistan.