-
Ayatullah Khatami: Uharamia wa Uingereza unakumbushia jinai za nchi hiyo dhidi ya watu wa Iran
Jul 26, 2019 08:30Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, uharamia wa Uingereza katika kuzuia meli ya kubeba mafuta ya Iran eneo la Jabal al Tariq, unakumbushia jinai kubwa za mkoloni huyo mkongwe dhidi ya taifa la Iran miaka iliyopita.
-
Azma ya taifa la Iran; kutosalimu amri mbele ya maadui
Jul 26, 2019 05:38Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sepah, amesema kuwa hakuna nguvu yoyote inayoweza kuichukulia uamuzi Iran na kwamba ulimwengu unapasa kuheshimu rasmi irada na azma ya taifa la Iran.
-
Mkuu wa AEOI: Ujenzi wa kinu cha pili cha atomiki cha Bushehr utaanza mwezi ujao wa Agosti
Jul 26, 2019 03:33Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema, ujenzi wa kinu cha pili cha nishati ya atomiki cha Bushehr utaanza mwezi ujao wa Agosti.
-
Uungaji mkono wa Lavrov kwa nafasi kuu ya Iran katika kutatua migogoro ya kieneo
Jul 26, 2019 02:57Russia imeonyesha msimamo wa kuiunga mkono Iran mkabala na tuhuma za Marekani dhidi ya Iran ambazo ni chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Gazeti la Marekani: Jeshi la IRGC la Iran ni jinamizi kwa Trump
Jul 26, 2019 02:42Gazeti la National Interest linalochapishwa nchini Marekani limelielezea Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kuwa ni jinamizi kubwa zaidi kwa rais wa Marekani Donald Trump.
-
Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao
Jul 25, 2019 22:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Senegal wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.
-
Meja Jenerali Hussein Salami: Adui ataendelea kulegeza msimamo mbele ya Iran
Jul 25, 2019 21:04Meja Jenerali Hussein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kuwa, ni lazima adui ataendelee kulegeza msimamo madhali matakwa halali ya taifa hili hayajatambuliwa rasmi.
-
Meja Jenerali Safavi: Iran ya Kiislamu ni nguvu isiyoweza kushindwa
Jul 25, 2019 06:42Msaidizi na Mshauri wa ngazi za juu wa Amirijeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran ameeleza kuwa uwezo wa Iran ya Kiislamu unaongezeka siku baada ya siku na kwamba nguvu ya Marekani na Wazayuni inazidi kupungua.
-
Barua ya Iran kwa Baraza la Usalama; ukiukaji wa meli ya mafuta ya Uingereza katika Lango Bahari la Hormoz
Jul 25, 2019 03:15Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barau Baraza la Usalama la umoja huo akilibainishia sababu ya kusimamishwa meli ya mafuta ya Uingereza katika Lango Bahari la Hormoz na kueleza kuwa meli hiyo ya mafuta ilikiuka sheria za kimataifa.
-
Brigedia Jenerali Sharif: Kutunguliwa droni ya Marekani na kukamatwa meli ya Uingereza ni ishara ya uwezo ilionao Iran
Jul 25, 2019 03:06Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema: Kuangushwa ndege ya ujasusi isiyo na rubani ya Marekani katika anga ya Iran na kukamatwa meli ya mafuta iliyofanya uhalifu ya Uingereza katika Lango Bahari la Hormuz vimedhihirisha nguvu na uwezo ilionao Iran ya Kiislamu.