-
IRGC: Taifa liko tayari kuvunja safu yoyote ya adui
Aug 17, 2025 04:09Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa taifa la Iran liko tayari kusimama kidete kukabiliana na maadui wa Jamhuri ya Kiislamu na kuwalazimisha wasalimu amri kama lilivyofanya katika makabiliano yaliyopita.
-
Qalibaf: Muda wa kumdhibiti mbwa kichaa wa Kizayuni unayoyoma
Aug 15, 2025 23:27Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Gaza ndiyo "ngome ya mwisho" ya Waislamu, na kusisitiza haja ya kuungwa mkono Palestina haraka iwezekanavyo, kabla ya ardhi nyingine katika eneo kushambuliwa na kuporwa na utawala ghasibu wa Israel.
-
Kwa nini ni muhimu kuimarisha ushirikiano wa kiusalama kati ya Iran na Iraq ili kukabiliana na uingiliaji wa kigeni?
Aug 15, 2025 06:44Kuimarishwa ushirikiano wa kiusalama kati ya Iran na Iraq ni hitajio la kimkakati la kudumisha utulivu, uhuru na kukabiliana na uingiliaji wa kigeni. Ushirikiano huu sio tu kwamba unahakikisha usalama wa ndani wa nchi mbili, bali pia unaweza kuwa kielelezo cha kuunda utaratibu mpya wa kikanda unaozingatia mshikamano na muqawama.
-
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran: Muqawama ni 'hazina kubwa' kwa eneo
Aug 15, 2025 04:01Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema, Muqawama ni "hazina kubwa" kwa eneo na Ulimwengu wa Kiislamu na akabainisha kuwa makundi ya Muqawama yamefikia kwenye "ukomavu" katika kujichukulia maamuzi yao.
-
Je, miradi ya pamoja ya mpakani kati ya Iran na Azerbaijan imeingia katika hatua mpya?
Aug 15, 2025 03:16Katika siku za hivi karibuni, sisitizo la viongozi wa Iran na Azerbaijan la kuharakisha miradi ya pamoja ya mpakani kwa mara nyingine tena limewavutia wachambuzi wa masuala ya kieneo kuhusu uhusiano wa nchi mbili hizi.
-
Human Rights Watch: Shambulio la Israel dhidi ya jela ya Evin, Iran ilikuwa jinai ya kivita
Aug 14, 2025 23:58Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti na kueleza kwamba mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel tarehe 2 Julai dhidi ya Jela ya Evin mjini Tehran yalikuwa "kinyume cha sheria" na ni "uhalifu wa wazi wa kivita."
-
Mamilioni ya Waislamu waadhimisha Arubaini ya Imam Hussein AS katika mji mtakatifu wa Karbala
Aug 14, 2025 10:52Mamilioni ya Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia wamekusanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha Arubaini ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), Imam wa tatu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia na mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW).
-
Larijani: Hizbullah ya Lebanon ni chimbuko la heshima na fahari kwa Uislamu
Aug 14, 2025 04:13Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: "Leo Hizbullah nchini Lebanon ni harakati hai na endelevu inayouletea Uislamu heshima na fahari."
-
Laana za kimataifa kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya vituo vya dawa na chanjo vya Iran
Aug 14, 2025 00:09Nchi wanachama wa Makubaliano ya Kupiga Marufuku Silaha za Kibiolojia zimepaza sauuti kuunga mkono haki ya Iran ya kutumiaa teknolojia ya kibiolojia kwa malengo ya amani.
-
Dkt. Larijani: Muqawama ni rasilimali ya kitaifa ya Lebanon
Aug 13, 2025 08:40Dkt. Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa, muqawama ni mtaji na rasilimali ya kitaifa la Lebanon.