-
Imam Khamenei: Mazungumzo na Marekani hayana maana yoyote
Sep 24, 2025 02:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepinga ombi la Washington la mazungumzo ya nyuklia na kusema kwamba hakuna taifa lolote huru na lenye heshima linaloweza kukubali mazungumzo chini ya mashinikizo.
-
Araqchi: Shambulio la Israel-Marekani dhidi ya maeneo ya nyuklia ya Iran, sura ya giza kwa NPT
Sep 24, 2025 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kuwa, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya maeneo vituo vya nyuklia vya Iran ya mwezi Juni mwaka huu, ni "sura ya giza na hatari" katika historia ya Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Nyuklia, NPT.
-
Baqaei alaani vikali kuwekewa vikwazo wanadiplomasia wa Iran mjini New York
Sep 24, 2025 02:29Ismail Baqaei, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikwali kitendo cha maafisa wa Marekani kuwawekea vikwazo wanadiplomasia wa Iran mjini New York. Wanadiplomasia wa Iran wako nchini Marekani kushiriki katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
-
Haiwezekani kuzungumza na mtu dhalimu, asema Rais wa Iran kabla ya ziara yake New York
Sep 23, 2025 22:46Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kabla ya kuondoka kuelekea New York kwamba haiwezekani kuwa na mazungumzo na mtu yeyote ambaye ana nia ya “kulazimisha, kudhulumu, kufanya hila au kuvuruga mambo.”
-
Rais Pezeshkian awatakia heri Mfalme na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia katika Siku ya Taifa
Sep 23, 2025 22:45Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ametuma salamu za pongezi kwa Mfalme, Mrithi wa Kiti cha Ufalme, na wananchi wa Saudi Arabia katika maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya ufalme huo.
-
Chanjo erevu iliyotengenezzwa Iran kutibu Saratani ya Mapafu
Sep 23, 2025 22:45Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba cha Tehran ametangaza chanjo yenye akili mnemba (AI) kwa ajili ya kutibu saratani ya mapafu.
-
Pezeshkian: Jithada za kuzuia uhusiano mwema kati ya nchi za Kiislamu hazitafanikiwa
Sep 23, 2025 08:27Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria jitihada za maadui za kuzusha hitilafu na mgawanyiko baina ya nchi za Kiislamu; na kushindwa kuasisiwa uhusiano wenye matunda katika eneo hasa kati ya Iran na Jamhuri ya Azerbaijan.
-
Iran yaanza mwaka mpya wa masomo kwa kuwaenzi wanafunzi 34 waliouawa katika uvamizi wa Israel
Sep 23, 2025 08:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amewaenzi wanafunzi 34 waliouawa shahidi katika mashambulizi ya kichokozi ya Israell dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwezi Juni mwaka huu sambamba na kuanza mwaka wa masomo hapa nchini wa 1404-1405 kulingana na kalenda ya Iran ya hijria shamsia.
-
Rais Pezeshkian: Baraza Kuu la UN ni fursa adhimu ya kubainisha misimamo yetu
Sep 23, 2025 03:49Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusiana na mipango na malengo ya safari yake ya New York ya kuhudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: "tutatangaza misimamo yetu kwa kuzingatia amani na usalama katika Umoja wa Mataifa."
-
Araqchi: Jinai za Israel dhidi ya ubinadamu ni udhalilishaji wa wazi kwa haki na ubinadamu
Sep 22, 2025 23:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina ni chuki ya wazi dhidi ya thamani za uadilifu na ubinadamu duniani na vilevile ni shambulio dhidi ya mafundisho ya Mtume Muhammad SAW ambaye amesema: "Kumuua mtu asiye na hatia ni sawa na kuua binadamu wote."