-
Uzinduzi wa Mafunzo ya Akili Mnemba kwa wanafunzi milioni moja Iran
Apr 23, 2025 07:31Msaidizi wa Naibu wa Rais wa Iran katika Masuala ya Sayansi ametangaza rasmi uzinduzi wa mpango wa kufundisha Akili Mnemba (Artificial Intelligence) kwa wanafunzi milioni moja nchini humo.
-
Umuhimu wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini China
Apr 23, 2025 06:33Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasili Beijing leo (Jumatano), Aprili 23, kwa ajili ya kukutana na kufanya mashauriano na viongozi wa China.
-
Araghchi: China na Russia ni washirika wa kimkakati wa Iran
Apr 23, 2025 04:11Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mara baada ya kuwasili nchini China kwamba, madhumuni ya ziara hiyo ni kuwasilisha ujumbe wa Rais wa Iran kwa maafisa wa China.
-
Baghaei: Russia ina mchango athirifu katika mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Apr 22, 2025 22:41Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Russia ina nafasi na mchango athirifu katika kushughulikia faili la nyuklia la Iran.
-
IRGC yatoa onyo kwa maadui kwamba iko kwenye 'kilele cha utayari wa pande zote' wa kijeshi
Apr 22, 2025 07:44Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa tamko kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 46 wa kuasisiwa kwake kwamba liko kwenye utayari wa kiwango cha juu kabisa cha utekelezaji operesheni za kjeshi, likisisitizia dhamira yake isiyotetereka ya kuilinda Jamhuri ya Kiislamu na kukabiliana na adui yeyote.
-
Araghchi: Iran inaaminika, siku zote huheshimu kile inachosaini
Apr 22, 2025 07:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesisitiza kuwepo hakikisho la kudhaminiwa maslahi ya kiuchumi ya Iran kupitia makubaliano yoyote yatakayofikiwa na akaeleza kuwa, Iran ni ya kuaminika na daima huheshimu kile inachotia saini.
-
Iravani: Iran ni mmiliki wa visiwa vitatu katika maji ya Ghuba ya Uajemi
Apr 22, 2025 03:38Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amekanusha madai ya Baraza la Ushirikiano wa Ghuba ya Uajemi kwamba Iran inaingilia mamlaka ya visiwa vya Boumousi, Tunb Kubwa na Tunb Ndogo katika Ghuba ya Uajemi na kuyataja kuwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni na sheria za kimataifa na Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
-
Iran: Sharti la msingi katika mazungumzo yoyote ni kuondolewa vikwazo
Apr 21, 2025 23:33Esmail Baghaei, msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, mahitaji yetu ya kimsingi katika mazungumzo yoyote ni kuondolewa vikwazo kwa njia ambayo italeta matokeo yanayoonekana na yenye ufanisi.
-
Iran yasema Afrika itakuwa kitovu cha uchumi wa dunia
Apr 21, 2025 07:26Msemaji wa Serikali Iran amesema Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika utafanyika wiki ijayo sambamba na Maonyesho ya Saba ya Uwezo wa Biashara ya Nje ya Iran.
-
Kikosi cha IRGC cha Iran kina uwezo wa kukabiliana na tishio lolote la adui
Apr 21, 2025 07:24Kamandi Kuu ya Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imethibitisha tena nguvu isiyotetereka na uimara wa hali ya juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) katika kulinda ardhi na watu wa Iran.