-
Awamu ya nne ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani yafanyika Oman
May 11, 2025 09:33Awamu ya nne ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani imefanyika leo Jumapili, Mei 11, 2025 mjini Muscat kwa upatanishi wa Oman na kumshirikisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran na mjumbe maalumu wa rais wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mafanikio ya Maendeleo ya Binadamu (HDI) ya Iran licha ya vikwazo
May 11, 2025 04:36Iran imeorodheshwa miongoni mwa nchi zenye Kiwango cha Juu cha Maendeleo ya Binadamu katika Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu ya 2025 ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).
-
Vipaumbele muhimu zaidi vya sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
May 11, 2025 04:29Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefafanua vipaumbele na masuala muhimu zaidi katika siasa za nje za Iran katika kikao cha Doha na pia katika vikao vingine na viongozi mbalimbali wa nchi za eneo.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wakutana Jeddah
May 11, 2025 00:48Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Saudi Arabia wamekutana kujadili masuala muhimu yanayohusu uhusiano wa pande mbili, pamoja na matukio ya kikanda na kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu atoa wito kwa dunia nzima kupinga uhalifu wa Israel na Marekani huko Gaza
May 10, 2025 08:52Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameutaka Ulimwengu wa Kiislamu kutoruhusu suala la Palestina lisahaulike akisisitiza ulazima wa kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
-
Ni vipi vipaumbele vya Iran katika Duru ya 4 ya Mkutano wa Mazungumzo kati ya Iran na Nchi za Kiarabu
May 10, 2025 08:02Duru ya 4 ya Mkutano wa Mazungumzo kati ya Iran na Nchi za Kiarabu chini ya anwani "Uhusiano Imara na Maslahi ya Pande Mbili" inafanyika Doha mji mkuu wa Qatar kwa ushirikiano wa pamoja wa Baraza la Kiistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran na Kituo cha Utafiti cha al Jazira.
-
Duru ya nne ya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja baina ya Iran na Marekani kuanza kesho
May 10, 2025 03:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman, Badr Al-Busaidi, ambaye anakaimu nafasi ya mpatanishi kati ya Iran na Marekani katika mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja, ametangaza kuwa duru ya nne ya mazungumzo hayo itafanyika mjini Muscat kesho Jumapili.
-
Iran: Ripoti ya kituo cha nyuklia cha siri ni uzushi wa Netanyahu ili kuvuruga mazungumzo na Marekani
May 10, 2025 01:00Iran imekanusha ripoti kuhusu kituo cha siri cha nyuklia, ikisema zimetolewa na kundi la kigaidi la MKO kwa agizo la waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa nia ya kuvuruga mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Tehran na Washington.
-
Iran: Marekani inapotosha ukweli kuhusu urutubishaji wa urani
May 10, 2025 00:55Behrouz Kamalvandi, msemaji na naibu mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI), amepinga kauli za hivi karibuni zilizotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio kwamba ni nchi zenye silaha za nyuklia pekee zinazorutubisha madini ya urani yanayotumika kuzalisha umeme wa nyuklia.
-
Utayarifu wa Iran wa kufanya jitihada za kutatua mzozo wa India na Pakistan
May 10, 2025 00:51Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Droupadi Murmu wa India ambapo ameashiria mvutano wa hivi sasa kati ya nchi hiyo na Pakistan na kutangaza kuwa, Iran iko tayari kufanya juhudi za aina yoyote ili kusaidia jitihada za kupunguza mivutano na kuimarisha amani katika eneo hilo muhimu.