-
Balozi wa Iran UN: Israel itawajibishwa kwa mauaji ya makusudi ya watoto Wairan
Jun 28, 2025 02:53Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa Amir Saeid Iravani amelaani sera ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuua watoto makusudi katika inavyoanzisha katika kanda ya Asia Magharibi na kusisitiza kuwa utawala huo haramu utawajibishwa kwa jinai zake hizo za kuua watoto wadogo.
-
Ayatullah Khamenei: Utawala wa Kizayuni nusura kusambaratika kabisa kufuatia mapigo makali ya jeshi la Iran
Jun 26, 2025 12:35Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa tatu kupitia televisheni ya taifa kwa wananchi wa Iran akiwashukuru na kuwapongeza kwa msimao wao wa kutetea na kuunga mkono kwa dhati mfumo wa Mapinduzi ya Kiislamu, hasa baada ya kushambuliwa na utawala haramu wa Israel kwa uungaji mkono na msaada wa moja kwa moja wa Marekani.
-
Baqaei: Iran ina haki ya kustafidi na nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani kwa mujibu wa NPT
Jun 26, 2025 12:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameeleza kuwa kwa mujibu wa mkabata wa NPT na kifungu cha 4 cha mkataba huo, Iran ina haki kamili ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani, na imeazimia kudumisha haki hiyo kwa hali yoyote ile.
-
Iran yasisitisha ushirikiano wake na wakala wa IAEA
Jun 25, 2025 06:13Wawakilishi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu wameidhinisha vipengee vikuu na vidogo vya mpango wa kuitaka serikali kusitisha ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).
-
Baqaei: Shambulio dhidi ya kambi ya Al-Udeid ya Marekani isichukuliwe kama hatua dhidi ya Qatar
Jun 25, 2025 06:08Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Hatua ya Iran ya kulenga kambi ya Wamarekani huko Al-Udeid isichukuliwe kwa vyovyote vile kuwa ni hatua dhidi ya serikali rafiki na ndugu ya Qatar."
-
Araqchi: Iran kamwe haitalegeza kamba kwa haki yake ya kurutubisha madini ya urani
Jun 25, 2025 05:37Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhurei ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kamwe Iran haitalegeza kamba katika haki yake ya kurutubisha madini ya urani.
-
Majasusi watatu wa MOSSAD wanyongwa kwa kupanga njama ya kumuua mtu mashuhuri nchini Iran
Jun 25, 2025 05:34Idara ya Mahakama ya Iran imetangaza habari ya kunyongwa majasusi watatu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika jela ya Urmia kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Jeshi la Sepah: Marekani na Israel zisubiri majibu ya majuto
Jun 22, 2025 11:47Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) limelaani shambulio la Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya amani vya Iran katika taarifa yake (siku ya Jumapili), na kusisitiza kwamba wale wanaoishambulia Iran wanapaswa kutarajia jibu ambalo litawafanya wajute.
-
Rais wa Iran: Hatukuanzisha vita sisi, lakini tutatoa jibu kali kwa uvamizi wa Israel
Jun 22, 2025 11:43Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran haikuanzisha vita lakini itatoa jibu kali kwa uvamizi wa utawala haramu wa Israel dhidi yake.
-
Araqchi akataa takwa la madola ya Ulaya la kurejea Iran katika meza ya mazungumzo
Jun 22, 2025 11:37Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekataa takwa la madola ya Ulaya la kurejea Iran katika meza ya mazungumzo.