-
Iran: Kuzishutumu nchi huru bila ya sababu ni kuendeleza uvunjaji wa sheria
Jan 24, 2025 00:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tuhuma ya Marekani dhidi ya Cuba na kuliingiza tena jina la nchi hiyo katika orodha ya mataifa yanayodaiwa kuunga mkono ugaidi ni hatua ya kipuuzi na isiyokubalika kabisa.
-
Araqchi amjibu Guterres: Ni kukosa adabu kuwapa mawaidha Wairani
Jan 23, 2025 10:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amejibu matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres akisisitiza kuwa Iran haijawahi kuwa na nia ya kumiliki silaha za nyuklia na kwamba kushikamana kwa Iran na makubaliano ya NPT kuko wazi kwa kila mtu.
-
Iran inapaswa kuhesabiwa kuwa mfano wa kuigwa katika kuhifadhi wakimbizi
Jan 23, 2025 09:36Iran inapaswa kutambulishwa kama mfano wa kuigwa duniani katika kuhifadhi wakimbizi. Hayoi yamesema na afisa mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi nchini Iran UNHCR.
-
Pezeshkian awataka Wairani kuwa macho mkabala wa njama za maadui
Jan 23, 2025 04:18Rais wa Iran amesisitiza haja ya kudumisha umoja wa kitaifa nchini, wakati huu ambapo maadui wa taifa hili wanakula njama na kutaka kutumia vibaya mizozo ya ndani.
-
Zarif: Iran sio tishio la usalama kwa nchi yoyote ile
Jan 23, 2025 04:07Makamu wa Rais katika Masuala ya Kistratejia wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu si tishio la usalama kwa nchi yoyote ile duniani, akisisitiza kwamba kama Tehran ingelikusudia kutengeneza silaha za nyuklia, ingelikuwa imefanya hivyo zamani.
-
Imam Khamenei: Mustakabali utaonyesha ni nani amedhoofika
Jan 22, 2025 09:51Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametaja kudhoofika kwa nchi kuwa ni dhana potofu na njozi ya maadui.
-
Iran: Tuko tayari kuanzisha upya mazungumzo ya kuondoa vikwazo
Jan 21, 2025 23:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na Masuala ya Kisheria, Kazem Gharibabadi amesema kuna misingi na fursa zinazofaa za kuanzisha tena mazungumzo na pande nyingine.
-
Ahmad Nouruzi aipongeza taasisi ya HRF kwa kuwaandama kisheria viongozi wa Israel
Jan 21, 2025 07:37Mkuu wa Kitengo cha Matangazo ya Ng'ambo cha Shirika la Sauti na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amepongeza juhudi za Taasisi ya Hind Rajab (HRF) kwa kuendesha juhudi za kimataifa za kuwafungulia mashtaka na kuwaandamana kisheria viongozi wahalifu wa Israel kwa jinai zao huko Ghaza.
-
Qur'ani ndio sababu ya istiqama ya watu wa Gaza; Ujumbe mpya wa ukurasa wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 21, 2025 03:48Akaunti ya khamenei.ir katika mtandao wa kijamii wa X imechapisha ujumbe kwa lugha kadhaa za Ulaya kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa kumi wa barua ya Imam Ali Khamenei kwa vijana wa Ulaya na Amerika Kaskazini.
-
Iran yasisitiza kuwa uwezo wake wa kiulinzi na kijeshi hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa
Jan 20, 2025 23:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Esmaeil Baghaei amesema, uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi katu kuwa suala la kujadiliwa na kuzungumziwa.