-
Abbas Araghchi: Marekani inafanya njama za kudhoofisha nchi za Kiislamu
Dec 23, 2024 02:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, kinachofanywa na Marekani kwa kukiuka kwa kiasi kikubwa misingi na kanuni za sheria za kimataifa ni kwa niaba ya utawala wa Kizayuni na katika fremu ya mpango wao wa pamoja wa kuziangamiza na kuzidhoofisha nchi za Kiislamu na kulitawala eneo hili.
-
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Muqawama wa Wapalestina umeonyesha sura halisi ya mfumo wa kibeberu
Dec 22, 2024 23:41Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama wa Palestina na Mujahidina wa Gaza wameonyesha sura mbaya na ya kweli ya mfumo wa kibeberu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Stratejia za busara na athirifu za Iran katika kuihami kambi ya muqawama
Dec 22, 2024 23:39Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameweka wazi misimamo ya Jamhuri ya Kislamu ya Iran kuhusu matukio ya kikanda na kimataifa. Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameeleza hayo katika mahijiano maalumu aliyofanya na mtandao wa Misri wa al Ghad pambizoni mwa mkutano wa wakuu wa nchi za Kiislamu zinazoendelea yaani D-8 mjini Cairo, Misri.
-
Kiongozi Muadhamu: Iran haina wala haihitaji vikosi vya niaba
Dec 22, 2024 09:30Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepuuzilia mbali madai kwamba Iran imefungiwa njia ya kufikia "vikosi vyake vya niaba" katika eneo la Magharibi mwa Asia, na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haina wala haihitaji vikosi hivyo ili kufikia malengo yake
-
Blinken: Marekani haina uwezo wa kupindua serikali ya Iran
Dec 22, 2024 00:11Anthony Blinken Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani sambamba na kukiri kuweko njama za Marekani za kuihujumu Iran, ameeleza kwa kina sababu zinazofanya juhudi hizo kutozaa matunda.
-
Mahusiano ya Biashara ya Iran na Pakistan yaongezeka
Dec 22, 2024 00:08Takwimu zinaonyesha kuwa, uhusiano wa kibiashara wa Iran na Pakistan umeongezeka na unazidi kukua siku baada ya siku.
-
Sayyid Abbas Araghchi: Bashar Assad alikataa kusikiliza mapendekezo yetu
Dec 21, 2024 10:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Tulitoa mapendekezo mengi kwa Bashar al-Assad, Rais wa zamani wa Syria lakini alikataa kuyasikiliza, tulimtahadharisha kuhusu harakati za upinzani huko Idlib na serikali ya Syria ilifanya maamuzi huru.
-
Araghchi: Ugaidi nchini Syria ni tishio kwa eneo zima la Asia Magharibi
Dec 20, 2024 23:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, ugaidi nchini Syria ni tishio kwa eneo zima la Asia Magharibi
-
Utawala wa Kizayuni umeshindwa na Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon
Dec 20, 2024 10:05Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake ya kijeshi mbele ya Muqawama wa Kiislamu na Hizbullah huko kusini mwa Lebanon na ndio maana adui Mzayuni amelazimika kukubali usitishaji vita.
-
Marais wa Iran na Misri waonesha matumaini ya kustawi uhusiano wa pande mbili
Dec 20, 2024 10:04Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Misri wamefanya mazungumzo ya ana kwa ana mjini Cairo, Misri na wamepitia hatua zote chanya za kuweza kustawisha uhusiano kati ya nchi zao. Wameelezea matumaini yao kuwa hatua chanya zitaendelea hadi uhusiano wa nchi mbili utakaporejeshwa kikamilifu.