-
Baqaei: Iran ilikuwa Syria kukabiliana na ugaidi na kwa mwaliko wa serikali
Dec 17, 2024 23:31Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran anasema Iran ilituma washauri wa kijeshi nchini Syria kwa ajili ya kusaidia nchi hiyo kupambana na ugaidi na kwamba itafunguliwa tena ubalozi wake nchini humo mara tu "mazingira yanayohitajika" yatakapoandaliwa.
-
Muhammad Islami: Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa
Dec 17, 2024 23:28Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, kivitendo Wazayuni wameulemaza Umoja wa Mataifa na taasisi hiyo iliyokuwa ikipigania haki za binadamu na uadilifu hivi sasa imepoteza kabisa ufanisi na uutendaji wake.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani na washirika wake wanakosea kikamilifu kudhani Muqawama umepoteza nguvu zake
Dec 17, 2024 08:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa Marekani na washirika wake wanakoseka kikamilifu wanapodhani kwamba Muqawama umeishiwa nguvu na umemalizika.
-
Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kushiriki mkutano nchini Misri
Dec 17, 2024 07:49Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametangaza kuwa, Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika mkutano wa D-8 nchini Misri.
-
Iran: US na Ujerumani zinasaidia mkono kwa mkono mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza
Dec 17, 2024 04:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, Marekani na Ujerumani zinasaidiana mkono kwa mkono na Israel katika mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo wa Kizayuni huko Ghaza.
-
Iran Kurudi Nyuma, Kamwe?
Dec 16, 2024 23:08Je, Iran imelegeza kamba na kurudi nyuma? Wakati Donald Trump alipojiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuanza kutekeleza sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran, wengi walidhani kuwa Iran ingesalimu amri.
-
Iran yahimiza kufanyika juhudi zaidi za pamoja za kukomesha jinai za Israel
Dec 16, 2024 08:05Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika Masuala ya Kisiasa, Majid Takht Ravanchi amesema kuwa, nchi zote lazima zifanye juhudi za dhati za kukomesha ukatili wa utawala wa Israel na kuwaadhibu viongozi wa utawala huo kutokana na jinai zao za kutisha.
-
Ubalozi wa Iran nchini Syria kufunguliwa hivi karibuni
Dec 16, 2024 03:58Hossein Akbari Balozi wa Iran nchini Syria ameeleza kuwa ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Damascus ambao ulifungwa kufuatia matukio ya karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu utaanza shughuli zake hivi karibuni.
-
Araqchi asisitiza kuendeleza mashauriano kati ya Iran na Japan
Dec 16, 2024 03:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuhusu umuhimu wa kuendeleza mashauriano kati ya pande mbili kuhusu masuala ya amani na utulivu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza
Dec 16, 2024 03:22Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,