-
Iran yawasilisha malalamiko Baraza la Usalama la UN kuhusu vitisho vya Trump
Feb 11, 2025 11:16Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa amesema Iran imewasilisha malalamiko katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Maandamano makubwa ya wananchi wa Iran katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yana jumbe gani?
Feb 11, 2025 08:01Wananchi wa Iran walikuwa na mahudhurio makubwa katika maadhimisho ya mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.
-
Taliban: Iran ni mfano wa kwanza wenye mafanikio wa kuunda utawala wa Kiislamu katika zama hizi
Feb 11, 2025 03:45Mkuu wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Muda ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban amesema kuasisiwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano wa kwanza wenye mafanikio wa kuunda utawala wa Kiislamu katika zama za sasa na kwamba utawala huo umekuwa na taathira kwa matukio ya kikanda.
-
Mwangwi wa maandamano ya Bahman 22 katika vyombo vya habari vya Marekani
Feb 10, 2025 23:16Vyombo vya habari vya lugha ya Kiingereza vimeyapa kipaumbele maalumu maadhimisho ya miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yaliyofanyika jana kote nchini.
-
IRGC: Tutazindua karibuni kombora la 'supersonic cruise'
Feb 10, 2025 23:16Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu karibuni hivi itazindua kombora la kisasa la cruise lenye uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi wa supersonic, lililotengenezwa na wataalamu wa humu nchini.
-
Iran yamweleza Guterres: UN ichukue msimamo thabiti kuhusu njama ya Trump dhidi ya Palestina
Feb 10, 2025 23:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi amesema Umoja wa Mataifa, hasa Baraza lake la Usalama, lazima uchukue msimamo "imara na wa wazi" dhidi ya mpango wa Marekani na Israel unaolenga kuwaondoa kwa nguvu Wapalestina kutoka Ukanda wa Gaza.
-
Hizbullah ya Lebanon: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalibadilisha sura ya historia
Feb 10, 2025 23:15Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa salamu za kheri na baraka kwa taifa la Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ikisisitiza kuwa mapinduzi hayo yalibadilisha mkondo wa matukio na sura ya historia.
-
Rais Pezeshkian: Iran itazima njama zote za maadui
Feb 10, 2025 07:57Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian anasema Jamhuri ya Kiislamu itafanya juu chini kuzima njama zote zinazopangwa na maadui dhidi ya taifa hili.
-
Iran yataka kufanyika kikao cha dharura cha OIC kujadili kadhia ya Palestina
Feb 10, 2025 11:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza na kubadilishana mawazo na mwenzake wa Gambia, Mamadou Tangara, ambaye nchi yake ndiye mwenyekiti wa sasa wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC), kuhusu matukio ya sasa huko Palestina hususan Ukanda wa Gaza.
-
Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha ushindi ya Mapinduzi ya Kiislamu yaanza nchini kote
Feb 10, 2025 04:12Maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yameanza kote nchini Iran ikiwa ni pamoja na katika Jiji kuu la Tehran.