-
Kamanda: Jeshi la Iran bado halijaonesha uwezo wake kamili
Jun 24, 2026 03:45Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamebadili mwelekeo wa kimkakati kutoka kwenye ulinzi pekee na kuelekea kwenye mafundisho ya kijeshi ya mashambulizi (offensive military doctrine), huku operesheni za kutangulia kumzuia adui (preemptive operations) zikiwa sasa mezani.
-
Iran: Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote haramu dhidi ya Iran
Jun 24, 2026 03:34Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, amesema kuwa Marekani ina wajibu wa kuondoa vikwazo vyote vya kiuchumi ilivyoiwekea Iran kinyume cha sheria, kulingana na mkataba wa maelewano uliotiwa saini kati ya Iran na Marekani.
-
Pezeshkian: Kuwajibika kwa Marekani ndio sharti la kuendelea mazungumzo
Jun 23, 2026 10:33Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo umuhimu wa kutekelezwa makubaliano yaliyofikwa baina ya Iran na Marekani kwa ajili ya kuendelezwa mazungumzo kati ya pande hizo kuhusu utekelezaji wa mkataba wa maelewano uliosainiwa hivi karibuni.
-
Mazishi ya Imam Khamenei kufanyika kwa siku sita nchini Iran na Iraq
Jun 23, 2026 03:06Makao makuu ya kumbukumbu ya Kiongozi aliyeuawa shahidi wa Iran, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei yametangaza ratiba ya mazishi ya siku sita katika miji mitano, ikianza na shughuli ya kuaga mwili wake kwa siku mbili mjini Tehran mnamo Julai 4 na kumalizika kwa maziko yake katika mji mtakatifu wa Mash'had, tarehe 9 Julai.
-
Jenerali Qaani awaambia Wazayuni: Muondoke wenyewe kusini mwa Lebanon la sivyo mtafukuzwa kwa mateke
Jun 23, 2026 02:59Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amewaambia wavamizi wa Kizayuni kwamba ikiwa hawataondoka kusini mwa Lebanon kwa miguu yao wenyewe, watafukuzwa kwa fedheha hali ya kuwa wameshindwa.
-
Kamati ya utendaji ya PUIC yakaribisha mpango wa Iran wa kuimarisha mshikamano wa nchi za Kiislamu
Jun 22, 2026 11:12Pendekezo la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran la kuimarisha mshikamano katika mchakato wa kumchagua Rais mpya wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) limepitishwa katika mkutano wa Kamati ya Utendaji ya PUIC.
-
Mawaziri wa Misri, Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan wajadili makubaliano ya Iran na Marekani
Jun 22, 2026 08:50Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Misri, Uturuki, Saudi Arabia na Pakistan umefanyika mjini Cairo kwa ajili ya kujadili utulivu wa kikanda na kufuatilia makubaliano kati ya Iran na Marekani.
-
Araqchi: Mazungumzo ya Uswisi yamepiga hatua kubwa, usitishaji vita Lebanon bado ni mtihani
Jun 22, 2026 04:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, amezipongeza Pakistan na Qatar kwa juhudi zao alizozitaja kuwa za "kutochoka" katika upatanishi, akisema kuwa hatua kubwa zimefikiwa kuelekea kumaliza vita dhidi ya Iran, lakini akasisitiza kuwa "kipimo halisi" kitakuwa utekelezaji wenye mafanikio wa usitishaji vita nchini Lebanon.
-
Rais Pezeshkian: Hatuogopi vita, lakini vita havina maslahi na mtu yeyote
Jun 22, 2026 04:43Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: "Hatuogopi vita, lakini vita havina maslahi na mtu yeyote.
-
Vyombo vya habari vya Kiebrania: Israel kwa mara nyingine tena imesalimu amri kwa masharti ya Iran
Jun 22, 2026 04:37Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa, uamuzi wa kusitisha mapigano nchini Lebanon umetolewa baada ya Marekani kutoa mashinikizo makali dhidi ya Tel Aviv na kwamba, maafisa wa kisiasa wa utawala huo wamesalimu amri tena kwa masharti ya Iran.