-
Iran: Mkuu wa vyombo vya habari wa Hizbullah aliyeuawa shahidi alikuwa "sauti kubwa" ya Lebanon
Nov 19, 2024 02:42Iran imelaani vikali mauaji ya msemaji wa Hizbullahh Mohammad Afif katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut, na kusema Shahidi Afif alikkuwa 'sauti kubwa" ya taifa la Lebanon.
-
Iran: Uingereza inashiriki katika mauaji Gaza kwa kukana mauaji ya kimbari ya Israel
Nov 18, 2024 23:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei, ameikosoa Uingereza kwa kukanusha mauaji ya kimbari yanayoendelea huko Gaza, akisema msimamo huo wa "kuudhi" unaifanya London kuwa mshiriki katika jinai zinazofanywa na utawala wa Israel.
-
Jebeli: Ulimwengu unashuhudia kuporomoka kwa utawala bandia wa Kizayuni
Nov 18, 2024 23:10Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema kuwa, hata wananchi wa Ulaya pia wametambua uwongo wa utawala ghasibu wa Israel na dunia nzima inashuhudia kuporomoka kwa utawala huo bandia.
-
Iran: Mkuu wa vyombo vya habari wa Hizbullah aliyeuawa shahidi alikuwa "sauti nzito" ya Lebanon
Nov 18, 2024 09:20Iran imelaani vikali mauaji ya msemaji wa Hizbullah Mohammad Afif katika shambulio la Israel lililolenga jengo moja katikati mwa Beirut, na kusema Shahidi Afif alikkuwa 'sauti nzito," ya taifa la Lebanon.
-
Takhte Ravanchi: Sera za mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran zitafeli
Nov 18, 2024 09:12Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesisitiza kuwa jitihada zote za kuiwekea Tehran mashinikizo ya juu zaidi zitafeli.
-
Araghchi: Uwekaji vikwazo wa Ulaya dhidi ya Iran hauna msingi wa kisheria, kimantiki wala kimaadili
Nov 18, 2024 04:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araqchi ametoa mjibizo kwa uamuzi wa Umoja wa Ulaya wa kutaka kuyawekea vikwazo mashirika ya vyombo vya majini ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba hatua hiyo ya Ulaya haina msingi wowote wa kisheria, kimantiki wala kimaadili.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tutaendelea kuunga mkono Mhimili wa Muqawama
Nov 18, 2024 03:54Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuuunga mkono Mhimili wa Muqawama, serikali na wananchi wa Syria.
-
Maulamaa wa Kisunni Iran wawaandikia barua wenzao katika Ulimwengu wa Kiislamu kuhusu Vita vya Ghaza
Nov 17, 2024 10:39Mamia ya Maulamaa mashuhuri wa Kisunni wa nchini Iran wametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kivitendo na Maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Araghchi: Wamagharibi wameonyesha nia ya kuanza tena mazungumzo ya nyuklia
Nov 17, 2024 04:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi, amesema kuwa hivi sasa nchi za Ulaya zinaonyesha nia ya kuanza tena mazungumzo ya nyuklia na kueleza kuwa: Yumkini mazungumzo hayo yakafanya hivi karibuni.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran akutana na mwenzake wa Syria
Nov 17, 2024 04:05Waziri wa Ulinzi wa Iran, Brigedia Jenerali Azizi Nasirzadeh, ambaye yuko ziarani nchini Syria, amekutana na na kufanya mazungumzo na waziri mwenzake leo Jumapili.