-
Baghaei: Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa hajakutana na Elon Musk
Nov 16, 2024 22:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Ismail Baghaei amekanusha habari za kufanyika mkutano kati ya mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa na mshauri wa Rais mpya wa Marekani, Elon Musk.
-
Indhari ya Iran kuhusu mchezo wa kisiasa wa Troika ya Ulaya
Nov 16, 2024 22:56Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo na Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa KImataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) hapa Tehran kuwa: "Kile ambacho Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakitaka katika teknolojia ya nyuklia kinakwenda sambamba kikamilifu na mifumo na vibali vya kisheria vya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki."
-
Iran yalitaka Baraza la Usalama kuchukua hatua za kukomesha jinai za Israel
Nov 16, 2024 09:03Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za lazima ili kukomesha jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Kupasishwa azimio jipya la Umoja wa Mataifa la kuwaunga mkono Wapalestina
Nov 16, 2024 08:30Kamati ya Haki za Binadamu na Masuala ya Kibinadamu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio na kusisitiza kuwa wananchi wa Palestina wana haki ya kujiainishia mustakbali wao katika ardhi za Palestina, na kwamba wana haki ya kuwa huru, kujitawala na kujikomboa haraka kutoka katika makucha ya ukaliaji mabavu wa utawala wa Kizayuni.
-
Larijani: Iran inaendelea kuunga mkono muqawama katika hali zote
Nov 16, 2024 01:20Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa, Iran inaendelea kuunga mkono kwa kila hali harakati za Muqawama au mapambano ya Kiislamu katika eneo.
-
Takriban magaidi 70 wenye mafungamano na Mossad wameuawa au kukamatwa kusini mashariki mwa Iran
Nov 15, 2024 23:23Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limewaua au kuwakamata magaidi 69 wanaohusishwa na shirika la ujasusi la Israel, Mossad, wakati wa mazoezi makubwa ya kukabiliana na ugaidi kusini mashariki mwa nchi.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza na Lebanon ni vita vya ukafiri dhidi ya kambi ya haki
Nov 15, 2024 10:11Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amevitaja vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Gaza na Lebanon kuwa ni vita kati ya haki na batili.
-
Rais Pezeshkian: Iran inapigania usalama na amani duniani
Nov 15, 2024 04:19Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba ulimwengu unaelewa kuwa Iran inafuatilia amani na usalama duniani kote na kwamba, mpango wake wa nyuklia ni wa malengo ya amani.
-
Iran na Angola zalaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 15, 2024 04:18Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Angola na rais wa nchi hiyo wamelaani vitendo vya jinai vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Araghchi: Iran haitafanya mazungumzo chini ya mashinikizo
Nov 15, 2024 00:27Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kuketi katika meza ya mazungumzo ya nyuklia na Troika ya Umoja wa Ulaya kulingana na maslahi na haki za Iran na si chini ya mashinikizo na vitisho.