-
Mshauri wa Kiongozi Mkuu: Iran imelisafisha hatua kwa hatua eneo na uwepo wa doa chafu la magaidi
Dec 25, 2024 03:26Mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelisafisha hatua kwa hatua eneo na uwepo wa doa chafu la magaidi.
-
Araqchi: Makombora ya Yemen yamevuruga mahesabu ya Marekani na Israel
Dec 25, 2024 00:18Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa usahihi wa makombora ya Yemen umevuruga kwa kiasi kikubwa mahesabu ya kimkakati ya muungano wa Israel na Marekani.
-
Iran: Tuko tayari kufungua tena ubalozi Syria, tunafanya mazungumzo na serikali ya Damascus
Dec 24, 2024 09:22Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza utayarifu wa Tehran kufungua tena ubalozi wake mjini Damascus, huku kukiwa na changamoto zinazoikabili Syria wiki mbili baada ya wanamgambo wa Hayat Tahrir al-Sham (HTS) kushika hatamu za nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Makamu wa Rais wa Iran ahimiza kustawishwa uhusiano na Russia
Dec 24, 2024 03:23Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Iran amesema kuwa, viongozi wa ngazi za juu wa Iran wana nia ya kweli ya kustawisha uhusiano na Russia katika viwango vya juu.
-
Wanawake wa Iran wang'ara katika sekta ya sayansi na teknolojia
Dec 24, 2024 00:00Wanawake wa Iran wameng'ara katika sekta ya sayansi na teklojia na kuliletea taifa mafanikio makubwa katika uga huu.
-
Iran: Hatuna mawasiliano ya moja kwa moja na mrengo tawala wa sasa huko Syria
Dec 23, 2024 23:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa tulikuwa na mawasiliano na mrengo wa upinzani wa Syria tangu kitambo nyuma na tulisema kwamba Iran iliingia Syria kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi la Daesh (ISIS) na kuzuia kuenea ugaidi katika nchi za eneo hili, lakini hatuna mawasiliano ya wa moja kwa moja na mrengo uliotwaa madarakan nchini Syria hivi sasa.
-
Iran na Russia zahimiza kuimarishwa uhusiano wa pande mbili
Dec 23, 2024 22:59Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, serikali yake imedhamiria kikwelikweli kuimarisha uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia na kukamilishwa haraka njia ya Ukanda wa Kimataifa wa Usafiri wa Kaskazini-Kusini (INSTC).
-
Kamanda Salami: Hakuna nguvu juu ya ardhi, bahari au angani inayoweza kuishinda IRGC
Dec 23, 2024 10:48Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesisitiza kuwa hakuna nguvu yoyote duniani inayoweza kushinda nguvu za jeshi la IRGC kwa upande wa ardhi, baharini na angani na kwamba uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran umevuka mipaka.
-
Abbas Araghchi: Marekani inafanya njama za kudhoofisha nchi za Kiislamu
Dec 23, 2024 02:14Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, kinachofanywa na Marekani kwa kukiuka kwa kiasi kikubwa misingi na kanuni za sheria za kimataifa ni kwa niaba ya utawala wa Kizayuni na katika fremu ya mpango wao wa pamoja wa kuziangamiza na kuzidhoofisha nchi za Kiislamu na kulitawala eneo hili.
-
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Muqawama wa Wapalestina umeonyesha sura halisi ya mfumo wa kibeberu
Dec 22, 2024 23:41Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama wa Palestina na Mujahidina wa Gaza wameonyesha sura mbaya na ya kweli ya mfumo wa kibeberu na utawala wa Kizayuni wa Israel.