-
Iran yatahadharisha kuhusu njama mbaya za kibaguzi za Israel za kupanua jinai Palestina
Aug 29, 2024 08:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unatekeleza njama "mbaya na za kibaguzi" za kupanua ukubwa wa mauaji na jinai kote Palestina na kukiuka matukufu ya Kiislamu.
-
Iran yasema magaidi wa MKO watashindwa kufikia malengo
Aug 29, 2024 08:07Iran imelaani vikali uungaji mkono wa kisiasa na kifedha wa nchi za Magharibi kwa kundi la MKO, ikisema ndoto za kipuuzi na potofu za magaidi wa kundi hilo na wafuasi wao hazitatimia kamwe.
-
Araqchi: Kuimarisha uhusiano na nchi zote ni sera ya serikali ya Iran
Aug 29, 2024 04:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema sera ya serikali ya 14 ya Iran ni kupanua uhusiano na nchi zote za dunia hususan nchi za Asia Mashariki.
-
Shahrivar Nane; Siku ya kupambana na ugaidi nchini Iran
Aug 29, 2024 04:08Leo, Alhamisi, tarehe 8 Shahrivar sawa na Agosti 29, 2024 ni kumbukumbu ya kuuawa shahidi Rais na Waziri mkuu wa Iran, na ni siku ya kitaifa ya kupambana na ugaidi nchini Iran.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo kipaumbele kikubwa cha kuimarishwa uhusiano wa Iran na Turkmenistan
Aug 28, 2024 23:24Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi na zaidi uhusiano wa Iran na Tukmenistan na kusema kuwa, ingawa uhusiano wa pande mbili umeimarika vyema katika miaka ya hivi karibuni, lakini bado kuna nyuga nyingi zaidi za ushirikiano.
-
Wanafunzi wa Iran waibuka wa kwanza katika Olympiad ya Kimataifa ya Astronomia, Astrofizikia
Aug 28, 2024 23:21Wanafunzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wamechukua nafasi ya kwanza katika Olympiadi ya 17 ya Kimataifa ya Astronomia na Astrofizikia.
-
Araghchi: Tunaunga mkono makubaliano yoyote ambayo yanakubaliwa na Wapalestina na muqawama
Aug 28, 2024 09:57Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inaunga mkono makubaliano yoyote ambayo yanakubaliwa na Wapalestina na muqawama.
-
Mtazamo wenye uono mpana wa Ayatullah Khamenei kuhusu namna ya kuamiliana na adui katika sera za nje
Aug 28, 2024 08:02Matamashi ya Ayatullah Khamenei katika kikao chake cha kwanza na Rais na Serikali ya Awamu ya 14 yanadhihirisha mtazamo wenye uono mpana wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu namna ya kuamiliana na adui.
-
Iran yaionya Israel isikichezee Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Aug 28, 2024 03:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa onyo kwa utawala wa Kizayuni na hasa serikali ya hivi sasa ya watenda jinai ambayo imepanga njama za kikhabithi dhidi ya Msikiti wa al Aqsa ambao ndicho Kibla cha Kwanza cha Waislamu ikiwaambia Wazayuni wasilichezee eneo hilo takatifu.
-
Watu wa Qur'ani Iran wawalaani wanajeshi wa Israel kwa kuivunjia heshima Qur'ani
Aug 28, 2024 00:59Jamii ya Wanaharakati wa Qur'ani nchini Iran wawamewalaani vikali wanajeshi wa utawala wa Kizayuni kwa kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu katika Msikiti mmoja wa kaskazini mwa Ukanda wa Ghaza.