-
Mambo yanayofanana katika vita vya miaka 8 vya kulazimishwa na vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza kwa mtazamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Sep 26, 2024 08:25Siku ya Jumatano asubuhi, kundi la maveterani wa vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran na wanaharakati wa jihadi na muqawama lilikutana na Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini, katika siku ya tano ya Wiki ya Kujitetea Kutakatifu.
-
Rais wa Iran ahitimisha safari yake ya siku tatu ya mazungumzo ya kidiplomasia mjini New York, UN
Sep 26, 2024 03:51Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambaye alisafiri kwenda mjini New York kushiriki katika kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), ameondoka mjini humo usiku wa kuamkia leo kurejea Tehran baada ya siku tatu za mikutano na mashauriano ya kina ya kidiplomasia aliyofanya huko.
-
Iran: Israel inalenga kuibua vita kamili katika eneo, haistahili uanachama wa Umoja wa Mataifa
Sep 26, 2024 01:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ameonya kwamba utawala wa Israel unalenga kuzusha "vita vikali" katika eneo la Asia Magharibi, akisema utawala huo "haustahiki" kuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa kutokana na chokochoko zake mbaya.
-
Iran: Marekani inataka kushadidisha taharuki katika eneo
Sep 26, 2024 00:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Marekani pamoja na Israel zinafuatilia kuyumbisha uthabiti na usalama wa eneo la Magharibi mwa Asia, na kupanua mvutano na mgogoro katika eneo hili.
-
Kamanda: Iran inaona fakhari kumiliki makombora yanayopiga kilomita 2000
Sep 26, 2024 00:28Kamanda wa Jeshi la Anga la Iran alisema amesema jeshi la Jamhuri ya Kiislamu linajivunia makombora yenye uwezo wa kupiga shabaha kwa usahihi mkubwa, umbali wa zaidi ya kilomita 2000.
-
Kiongozi Muadhamu: Wanamuqawama wa Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndio washindi
Sep 25, 2024 10:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi.
-
Sisitizo la Rais Pezeshkian katika Baraza Kuu la UN kuhusu vipaumbele vya sera za nje za Iran
Sep 25, 2024 08:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumanne alihutubia Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) mjini New York kuhusu vipaumbele vikuu vya sera za nje za Iran kuhusiana na matukio ya kikanda na kimataifa.
-
Tehran yakadhibisha tuhuma za maafisa wa Sweden dhidi ya Iran
Sep 25, 2024 04:26Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Sweden umekadhibisha tuhuma zisizo na msingi na za uongo zilizotolewa na maafisa wa serikali ya Sweden dhidi ya Tehran.
-
Rais Pezeshkian: Umwagaji damu za maelfu ya watu wasio na hatia Lebanon hautabaki bila majibu
Sep 25, 2024 00:07Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, jinai za kiholela na za kigaidi zilizofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika siku zilizopita na uchokozi wake mkubwa dhidi ya Lebanon ambao umemwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia hautabaki bila majibu.
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu ataka kusitishwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni
Sep 24, 2024 23:03Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu amelaani jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni huko Lebanon na kutaka kuwepo na uungaji mkono wa nchi za Kiislamu na serikali zinazotetea amani na usalama duniani kwa ajili ya kusitisha mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel.