-
Kan’ani: Madai ya NATO ya Iran kuisaidia Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote
Jul 11, 2024 09:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, madai ya Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi NATO kwamba, Iran inaisadia kijeshi Russia katika vita vya Ukraine hayana msingi wowote.
-
Iran: Waliounga mkono mpango wa silaha za kemikali wa Saddam washtakiwe
Jul 11, 2024 09:52Balozi wa Iran nchini Uholanzi amesisitiza juu ya udharura wa kushtakiwa na kuadhibiwa waungaji mkono wa kigeni wa mpango wa silaha za kemikali wa utawala wa Baath wa Iraq uliokuuwa ukiongozwa na Saddam Hussein.
-
Azma ya Pakistan ya kuimarisha uhusiano wa pande zote na Iran
Jul 11, 2024 03:47Muhammad Shahbaz Sharf Waziri Mkuu wa Pakistan amesisitiza katika mazungumzo ya simu na Masoud Pezeshkian Rais Mteule wa Iran kuwa Islamabad iko tayari kustawisha uhusiano na Tehran. Waziri Mkuu wa Pakistan amesema kuwa mapatano yaliyofikiwa na nchi mbili katika ziara ya mwezi Aprili ya Rais Shahidi Raisi wa Iran huko Pakistan ni nukta muhimu katika uhusiano wa pande mbili.
-
Idadi ya watu duniani yapindukia bilioni 8 huku idadi ya wanaozeeka ikiongezeka
Jul 11, 2024 03:22Idadi ya watu duniani wenye umri wa miaka 65 na zaidi imeongezeka karibu mara mbili huku hali hii ikitazamiwa kuendelea. Idadi ya watu duniai inazidi kuongezeka katika pembe mbalimbali na tayari imepindukia watu bilioni 8.
-
Masoud Pezeshkian, Rais Mteule wa Iran, asisitiza kuunga mkono Hamas kwa pande zote
Jul 11, 2024 03:16Katika ujumbe wake kwa Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, Masoud Pezeshkian, Rais Mteule wa Iran amesisitiza uungaji mkono wa dhati wa Iran kwa harakati hiyo ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina.
-
Rais mpya wa Iran kuapishwa Julai 30
Jul 10, 2024 23:24Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian anatazamiwa kula kiapo cha kulitumikia taifa Julai 30 mwaka huu.
-
Pezeshkian: Iran itaendelea kuiunga mkono Syria na muqawama
Jul 10, 2024 03:38Rais mteule wa Jamhuri ya Kiislamuu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kuiunga mkono Syria na muqawama kwa ujumla.
-
Kikosi cha SEPAH chaangamiza timu ya magaidi kaskazini magharibi mwa Iran
Jul 10, 2024 03:36Kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) kimetangaza kuiangamiza timu ya kigaidi dhidi ya mapinduzi kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Mkuu wa IRGC asema Jamhuri ya Kiislamu imelemaza nguvu ya Marekani
Jul 09, 2024 23:23Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema katika miongo kadhaa iliyopita Iran imemomonyoa uwezo wa Marekani na kuigeuza kuwa dola "dogo na dhaifu".
-
Rais mteule wa Iran na Rais wa Iraq watilia mkazo kustawisha uhusiano wa pande mbili
Jul 09, 2024 08:58Rais mteule wa Iran amezungumza kwa simu na Rais wa Iraq ambapo wamesisitiza udharura wa kustawisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali.